Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hivi Chakubanga,Bashiru na Professor wa Jalalani wanajisikiaje huko waliko maana wao ndio walikuwa wapiga zumari wakuu kwa yesu wa Chatto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa umekanusha nini na umeeleza nini. Kama hakuna ugumu wowote, kwanini kutumia nguvu kubwa kutafuta ushindi?We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
Sio mchafu tu ni mwizi na tapeli haijawai kutokeaMgombea huyo ni mchafu, amejaa rafuu.
Hawa wanasemaje?View attachment 1576158We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
Watu walifika wengi, na hasa vijana akina mama, zaidi kuwaona wanamziki. Hawakumwona Diamond, japo walitangaziwa kuwa atakuwepo. Viparata Tabora ni kero kubwa kwani mkuu wa wilaya anawaamuru waajiri wa maduka, bar, migahawa na mamalishe kuwanunulia viparata watumishi wao. Tatizo la hospital ya Kitete kuwatoza wazazi sh 50000 na 45000 kujifungua watoto wa kiume na kike hakulijibu. Huenda ni kuongeza mapato ya serikali, kumbuka anawahimiza wanawake kuzaa zaidi.Niko Tabora hapa. Nimekuwa kwenye uwanja wa kampeni tangu kampeni zianze. Nimekuwa nikiwafuatilia na wagombea wengine wa Urais. Nimejiridhisha kuwa wagombea ambao bado wana 'pumzi' na upinzani ni wetu Dkt. John Pombe Magufuli na wa watani zetu wa jadi CHADEMA Tundu Lissu. Wagombea hawa wamekuwa gumzo kwenye uwanja wa uchaguzi; kwenye kampeni zao. Wanachuana kwelikweli.
kwa miaka mitano ya Rais Magufuli (mgombea wetu wa CCM), watanzania wamekuwa 'wakidanganywa'. Wamekuwa wakidanganywa kimaneno na kimatendo. Wameaminishwa kuwa Dkt. Magufuli anakubalika kuliko yeyote aliyewahi kuwa Rais nchi hii. Amekuwa akiimbiwa mapambio yenye mbio kuwa ni mbunifu, msikivu, mnyenyekevu, mwerevu, mchaMungu, msemaukweli, mtekelezaji na kadhalika. Sifa zote tamutamu amemiminiwa Serikalini na chamani. Na Bungeni.
Ilitarajiwa, kwenye uchaguzi huu na kwakuwa mgombea wetu ameyasema na kuyatenda yaliyo mema kwa kila mtanzania, Dkt. Magufuli atumie nguvu ndogo mno kuomba kuongezewa miaka mingine mitano ya Urais wake. Angeonesha tu mazuri yake na mazuri yake yangembeba. Huku kwenye uwanja wa kampeni za Urais, mambo ni moto. Mambo ni magumu kuliko saumu/swaumu lakini kupambana muhimu.
Ni kama watanzania hawajamuelewa. Wanataka mgombea wetu aanze upya kuwaeleza bila kuwaliza. Aanze upya kuwaahidi kabla ya Eid kuhsu nini hasa kitafanyika hasa katika kupunguza makali ya maisha yao. Hata wahudhuriaji kwenye kmikutano yetu 'hutengenezwa' na Serikali na chama katika sehemu husika. Majombo huchanga; wilaya huchanga na hata mikoa huchanga wahudhuriaji. Kwanini iwe hivi? Kwanini watanzania ni wagumu wa kuyaona tuliyoambiwa kwa miaka mitano?
Huku uwanja wa kampeni, nguvu kubwa inatumika. Kinyume na ilivyotarajiwa. Kinyume na ilivyosaidikiwa. Kinyume na tulivyoaminishwa kukubalika, kuuzika, kupendwa na kuaminiwa kwa mgombea wetu na kujiandaa na ushindi wa kimbunga bila kupiga ukunga. Mambo ni tofauti kama mkaa na taa; tofauti kama gari na wali. Kampeni zinaendelea, kamepni zimepamba moto na si za kitoto. Picha, mabango ya viwango na matangazo yenye ujazo yaongezwe. Hadi watanzania waelewe.
Mikwara yaweza kuleta hasira na hasara!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
Mgombea wenu haamini na hajiamini
Siku hizi hiyo kauli ya Vyuma kukaza imepotea.Nimekumbuka siku Ile Mwakyembe alipotaka kuropoka kuwa vyuma vimekaza mara akajishtukia
Ushindi wa 90 - 100% kwa uwizi? Sawa.We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
Mbona huyo aliyeokotwa akiuza ndizi pale Kemondo Bay hujampa stahiki yake?Hivi Chakubanga,Bashiru na Professor wa Jalalani wanajisikiaje huko waliko maana wao ndio walikuwa wapiga zumari wakuu kwa yesu wa Chatto
Punguza mahaba ya kichama,Mara nyingine hurodhurika kusema ukweli,mtaani Mambo ji magumu Sana.We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
Huyo hana ujumbe wowote k,wenye Chama! Ngoja niingie chimbo nimfahamu vizuri na nitamuweka wazi hapaMwenzako ni mjumbe wa halmashauri kuu, na yupo kwenye kampeni
Na ni mmoja wa Watu ambao wanakula posho za kampeni
Sasa ww umekaa tu kwenu kilindi huko unaanza kubisha bisha tu
Huyo hana ujumbe wowote k,wenye Chama! Ngoja niingie chimbo nimfahamu vizuri na nitamuweka wazi hapa
Kama yuko kwenye msafara ni sababu nyengine ya kumsaka , yeye ni msaliti ni lazima atafutwe!Kwa taarifa yako tu
Yy yuko kwenye msafara wa rais magufuli
So Wala usipate shida ya kuingia chimbo, huyo Mtu humuwezi na humfikii hata kwa dhambi zake