Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

Mpaka huruma yaani sasa hivi CDM inafanya marudio ya kuzunguka miji mikuu, kuchokoza serikali wapewe njia za biashara, siku za kazi, wakitegemea kuamasha vurugu, jeshi la polisi lizuie fujo, watoe lawama.

Mbinu ovyo za CDM zimeboma, watanzania washajua CDM ni genge la wahuni tu.

Watu kwa wingi wao wala hawana habari, washawajua CDM ni magumashi. Kilichobaki ni kuja kwenye social media na kujijaza upepo.
🤧🤧🤧🤧🤧🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Kutembea ni hiyari yao (kwa wengine tunasisitiza ni kwa huruma wa raisi) maana kwengine duniani; kwa desturi za siasa za democracy tafsiri ya kutoheshimu muda wa wenzako kufanya kazi yao ni ukorofi wa kisiasa.

Kwa matembezi ya CDM na kinachooneksna labda kwa shabiki maandazi ndio wanazani kuna tija; vinginevyo kwa watanzania walio wengi tunacho shuhudia ni ‘kifo cha mfa maji, eshi kutapatapa’.

Marudio ya maandamano kwenye mini ile ile hata miezi miwili aijapita na round two less support; halafu haya mapoyo yakishindwa uchaguzi yatadai yameonewa wakati hayana support ya wananchi.
Hivi hata unaelewa ulichoandika wewe mwenyewe 🚮🚮🚮🚮🚮
 
Tafsiri ya Jambo hili ni kwamba, Maandamano ya Chadema yamefanikiwa na bila shaka Dunia nzima imefahamu kwamba Tanzania Imekumbwa na Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu kabisa za Uchaguzi kuliko nchi yoyote Duniani, Kilio cha Nape Nnauye leo Bungeni kuhusu Spana za Lissu ni sehemu ya Ushahidi wa Maandamano haya kugonga mfupa wa CCM.
Wakati huo huo waTanzania wakifuatilia maandamano hayo, wanaanza kujiuliza kuhusu hizi pesa za Abdul na mama yake hatma yake ni nini.

Ni vizuri kuwa wakweli; uko sahihi kabisa juu ya maandamano kufuatiliwa kwa karibu sana na wananchi, lakini wakati huo huo wananchi hao hao wanahofu kubwa na hizi pesa za waarabu zinazonunua viongozi, siyo serikalini na ndani ya CCM pekee, bali sasa ni hata huko kwenye vyama vya upinzani. Na hata makanisa hayakuachwa nyuma!
Matumaini ya waTanzania sasa wayaweke wapi?
 
Kwa Chadema baada ya Tamko la Lissu (aliyetumwa na chama), Mpango huo haramu umedhibitiwa rasmi.
 
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya waliokosa kazi, matembezi ya Wajinga, Wahuni, Washenzi na kila jina baya unalolijua.

Bali sasa imedhihirika kote duniani kwamba Maandamano hayo yamechoma serikali yote hadi imebaki Majivu , Hakuna kiongozi wa ccm ambaye hajaona Maandamano hayo kote yanakopita , Mijadala yote ya Mwezi April kwenye Maofisi ya serikali , maofisi ya ccm na Bungeni inahusu maandamano ya Chadema, huku Mijadala ya Bunge la Bajeti ikizimika kama Kibatari Jangwani.

Tafsiri ya Jambo hili ni kwamba, Maandamano ya Chadema yamefanikiwa na bila shaka Dunia nzima imefahamu kwamba Tanzania Imekumbwa na Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu kabisa za Uchaguzi kuliko nchi yoyote Duniani, Kilio cha Nape Nnauye leo Bungeni kuhusu Spana za Lissu ni sehemu ya Ushahidi wa Maandamano haya kugonga mfupa wa CCM.

Mungu Ibariki Chadema .

Hela chafu vipi mmepata majibu
 
Kuua tena. Utamjuaje unayemua ni mwanaCCM.
Nilikuwa namjibu huyu aliyesema maandamano ya chadema yamedoda.

Screenshot_20240505-152132_1.jpg
 
1.Kwanini Wabunge wa Zanzibar huwa wanajadili bajeti za Wizara zisizo za Muungano, Kama Wizara ya Kilimo?

2. Kwanini kwenye Baraza la Wawakilishi hakuna Wabunge toka Tanganyika kulinda Maslahi ya Tanganyika?

3.Kwanini Wazanzibar wanakuwa Wakuu wa Wilaya Tanganyika ilihali Watanganyika hawawezi kuwa Znz,assumption kwamba TAMISeMI ipo nchi ya Rais?

4.Kwanini Rais wa Jamhuri akitaka kugawa eneo labda Mkoa au Wilaya,Tanganyika anagawa tu,ila Kwa Zanzaibar ni lazima ashauriane na rais wa Zanzibar?
5.Idadi kamili ya wapiga kura ilikupata Jimbo la Mbunge wa bunge la JMT ni ngapi?

6.Kwanini Sukari bei chini Znz?

7.Kwanini Leseni ya udereva ya Tanzania haikubaliki Znz?

8.Kwanini Mh Rais hakubinafsisha bandari za Znz?..Znz hawataki Ufanisi?

9.Kwanini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hatambuliki Znz ilihali ni wa Tanzania nzima?

10.Kwanini Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijawahi kuwa na Spika wala Naibu Spika toka Zanzibar?
 
Back
Top Bottom