Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

Kukujibu hilo swali huna budi ukifuate kichwa chako shuleni kwanza.
🚮🚮🚮 Huna majibu ndio maana unakwepa 😁😁😁😁

Ndio maana Huwa nawaambia muwe mnawakamata wajinga,Mimi sio rahisi.Mfani angalia bei za bandonya bati imeshuka kutoka 360k(2020) Hadi 320-350k 2024👇👇
-298373979.jpg
165195740.jpg

Huo ugumu wa Maisha ni wapi? Saizi gunia la Mahindi ni 45,000-60,000 ,hapo sijazungumzia bidhaa zingine zilizoshuka kama Mafuta ya kula nk.
 
🚮🚮🚮 Huna majibu ndio maana unakwepa 😁😁😁😁

Ndio maana Huwa nawaambia muwe mnawakamata wajinga,Mimi sio rahisi.Mfani angalia bei za bandonya bati imeshuka kutoka 360k(2020) Hadi 320-350k 2024👇👇View attachment 2977167View attachment 2977168
Hivi,kweli wewe ni wa kuuliza kama Tanzania kuna umasikini au shida?Na ukipewa majibu nusu kaputi utajinunisha?Na haujui kama kuna watu wapo kwenye vikundi vya TASAF?🤔
 
Kufanya maandamano kipindi hiki cha Bunge la bajeti ni kama siasa chafu tu maana huko wanapitisha wanayojua wenyewe. Tena wanajua wananchi wako busy na maandamo ndo wanachapa mwendo tu.

Kwa sasa kujua habar za bunge ni hadi uzitafute sana. Inahuzunisha sana.
 
Wala usiyasingizie maandamano kuhusu bunge.Bunge lililopo ni bunge hewa.Halijulikani wala kueleweka sembuse kufuatiliwa!Hatuwezi kuzuia maandamano kwa kujidai kuwa tutashindwa kufuatilia kitu kisichofuatilika.
 
Na ukimshauri akalazwe wadi ya walio na mawazo mengi (insanes) ili apatiwe uangalizi mzuri atachukia.Hana jema.

😂😂😂😂😂
Tundu Lissu bana.
Umejaribu kuumpa huo Ushauri?

Alisemaje?

Eti anaenda CHATO kuwasemea CCM😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂
Tundu Lissu bana.
Umejaribu kuumpa huo Ushauri?

Alisemaje?

Eti anaenda CHATO kuwasemea CCM😂😂😂😂😂😂
Sijawahi wala kujiaminisha kwamba mlevi atakuja kusema kwa hiyari yake kwamba amelewa.Au kichaa kama wewe ujikubali ukichaa wako.
 
Hahahaaaaa

😂😂😂😂
Wamekosa agenda

Chama cha Uharakati agenda yao ni ku disrupt tu👉🏾 Wasubiri nusu mkate watulie. Shs 2.7 billion inawatia ukichaa😌

Wiki hii wanadai nini

Wachina ndio Tatizo letu🤔🤷🏾‍♂️

😂😂😂😂
 
Kitendo cha kuandika..."tumeibiwa"...ni ironic kwako kueleza ambavyo huwa hupendi waseme.Unataka wasiseme,wasiandike,wasitende bali watulie tu.
Hiyo ni tahadhari kwa mazingira yaliopo na nauna muitikio ni mdogo sana kwa wananchi juu ya hayo matembezi yenu hakuna aliyekuzuia kusema mbona kila uchaguzi mnasema hivyo halafu hamkomi!
 
Hiyo ni tahadhari kwa mazingira yaliopo na nauna muitikio ni mdogo sana kwa wananchi juu ya hayo matembezi yenu hakuna aliyekuzuia kusema mbona kila uchaguzi mnasema hivyo halafu hamkomi!
Ndiyo utulie na uyafuatilie.Ingawa utajidai huyafuatilii ila ukiulizwa walisema nini utajieleza kwa ufasaha kabisa.
 
Back
Top Bottom