ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mnaandamana Kwa sababu Tzn Kuna umaskini au Kwa sababu maisha ni magumu? Nchi gani haina maskini?Hivi,kweli wewe ni wa kuuliza kama Tanzania kuna umasikini au shida?Na ukipewa majibu nusu kaputi utajinunisha?Na haujui kama kuna watu wapo kwenye vikundi vya TASAF?🤔
Nadhani Mwendazake alikuwa sahihi kuwafurusha,mnatumia uhuru wenu na mda vibaya yaani umeme uko bwerere badala mkazalishe mnaenda kuandamana? Maandamano ndio yataondoa huo umaskini wenu?
You can't be serious 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C6WswpsrIa3/?igsh=MWh1eGgzM3Ewb2IyNg==