Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kutembea ni hiyari yao (kwa wengine tunasisitiza ni kwa huruma wa raisi) maana kwengine duniani; kwa desturi za siasa za democracy tafsiri ya kutoheshimu muda wa wenzako kufanya kazi yao ni ukorofi wa kisiasa.Huruma uliwasaidia kutembea?Sampuli yako ni wale ma-hopelesses wanaosubiri wenzao watawaletea nini huku wao wamejibweteka kama wagonjwa wa safura.
Kwa matembezi ya CDM na kinachooneksna labda kwa shabiki maandazi ndio wanazani kuna tija; vinginevyo kwa watanzania walio wengi tunacho shuhudia ni ‘kifo cha mfa maji, eshi kutapatapa’.
Marudio ya maandamano kwenye mini ile ile hata miezi miwili aijapita na round two less support; halafu haya mapoyo yakishindwa uchaguzi yatadai yameonewa wakati hayana support ya wananchi.