atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
🤧🤧🤧🤧🤧🚮🚮🚮🚮🚮🚮Mpaka huruma yaani sasa hivi CDM inafanya marudio ya kuzunguka miji mikuu, kuchokoza serikali wapewe njia za biashara, siku za kazi, wakitegemea kuamasha vurugu, jeshi la polisi lizuie fujo, watoe lawama.
Mbinu ovyo za CDM zimeboma, watanzania washajua CDM ni genge la wahuni tu.
Watu kwa wingi wao wala hawana habari, washawajua CDM ni magumashi. Kilichobaki ni kuja kwenye social media na kujijaza upepo.
Mkuu unaikosea sana bangi,hebu iombe radhi huyo sema tuu akili zake zimechanganyikana na mshipa wa mavi ndio halali yakeMwandiko wako hudhihirisha ulianza kuvuta bangi ukiwa haujatimiza miaka sita ya kuzaliwa.
Hivi hata unaelewa ulichoandika wewe mwenyewe 🚮🚮🚮🚮🚮Kutembea ni hiyari yao (kwa wengine tunasisitiza ni kwa huruma wa raisi) maana kwengine duniani; kwa desturi za siasa za democracy tafsiri ya kutoheshimu muda wa wenzako kufanya kazi yao ni ukorofi wa kisiasa.
Kwa matembezi ya CDM na kinachooneksna labda kwa shabiki maandazi ndio wanazani kuna tija; vinginevyo kwa watanzania walio wengi tunacho shuhudia ni ‘kifo cha mfa maji, eshi kutapatapa’.
Marudio ya maandamano kwenye mini ile ile hata miezi miwili aijapita na round two less support; halafu haya mapoyo yakishindwa uchaguzi yatadai yameonewa wakati hayana support ya wananchi.
Noma sana !Kila kona ya nchi ni Lissu Lissu
Wakati huo huo waTanzania wakifuatilia maandamano hayo, wanaanza kujiuliza kuhusu hizi pesa za Abdul na mama yake hatma yake ni nini.Tafsiri ya Jambo hili ni kwamba, Maandamano ya Chadema yamefanikiwa na bila shaka Dunia nzima imefahamu kwamba Tanzania Imekumbwa na Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu kabisa za Uchaguzi kuliko nchi yoyote Duniani, Kilio cha Nape Nnauye leo Bungeni kuhusu Spana za Lissu ni sehemu ya Ushahidi wa Maandamano haya kugonga mfupa wa CCM.
Kwa Chadema baada ya Tamko la Lissu (aliyetumwa na chama), Mpango huo haramu umedhibitiwa rasmi.Wakati huo huo waTanzania wakifuatilia maandamano hayo, wanaanza kujiuliza kuhusu hizi pesa za Abdul na mama yake hatma yake ni nini.
Ni vizuri kuwa wakweli; uko sahihi kabisa juu ya maandamano kufuatiliwa kwa karibu sana na wananchi, lakini wakati huo huo wananchi hao hao wanahofu kubwa na hizi pesa za waarabu zinazonunua viongozi, siyo serikalini na ndani ya CCM pekee, bali sasa ni hata huko kwenye vyama vya upinzani. Na hata makanisa hayakuachwa nyuma!
Matumaini ya waTanzania sasa wayaweke wapi?
Nasubiri kuona matokeo.Kwa Chadema baada ya Tamko la Lissu (aliyetumwa na chama), Mpango huo haramu umedhibitiwa rasmi.
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya waliokosa kazi, matembezi ya Wajinga, Wahuni, Washenzi na kila jina baya unalolijua.
Bali sasa imedhihirika kote duniani kwamba Maandamano hayo yamechoma serikali yote hadi imebaki Majivu , Hakuna kiongozi wa ccm ambaye hajaona Maandamano hayo kote yanakopita , Mijadala yote ya Mwezi April kwenye Maofisi ya serikali , maofisi ya ccm na Bungeni inahusu maandamano ya Chadema, huku Mijadala ya Bunge la Bajeti ikizimika kama Kibatari Jangwani.
Tafsiri ya Jambo hili ni kwamba, Maandamano ya Chadema yamefanikiwa na bila shaka Dunia nzima imefahamu kwamba Tanzania Imekumbwa na Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu kabisa za Uchaguzi kuliko nchi yoyote Duniani, Kilio cha Nape Nnauye leo Bungeni kuhusu Spana za Lissu ni sehemu ya Ushahidi wa Maandamano haya kugonga mfupa wa CCM.
Mungu Ibariki Chadema .
Kuua tena. Utamjuaje unayemua ni mwanaCCM.Nadhani kuna haja ya haya maandamano kuua wanaccm 2 au 3 kila yanakopita.
Nilikuwa namjibu huyu aliyesema maandamano ya chadema yamedoda.Kuua tena. Utamjuaje unayemua ni mwanaCCM.