Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

Hii comment iwe laminated
 
Mwenyekiti wa chama ndie mmiliki wa chama kwa wakati huo. Hao team mwendazake waanzishe tu chama kingine
 
Upo sahihi, kundi la mwenda zake ni lile liloenda CCM kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi, hawa watu baada ya mama kurithi kiti hawathaminiki sana.
 
Kikwete + Samia vs Team Magufuli na Tanzania ya wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…