Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

Ndugu yangu Mindi !
Raisi wetu kweli kwa tathmini ya haraka inaonesha hivyo ulivyo sema.
Lakini kuna kitu kime jificha Nyuma ya pazia ambachokina hitaji jicho makini kukibaini.

1.Yawezekana Mzee ameji tenga ,kwa kuwa na yeye ni binadamu,kama sisi na kufanya kwake huko ametumia dawa za mitishamba za kujifusha mpaka kupata nafuu.

2.Mzee kaonesha njia ya kufanya utafiti wa kutafuta tiba ya corona kama walivofanikisha Madagaska

3.Yawezekana mzee ana taarifa kwa watu waliotumia mitishamba na kupona ,ndo mana akijuwa kuwa hakuna dawa ya corona dunini wala hospitalini kokote,akasisitiza watu wachukue tahadhari,waendelee na maisha ,na wakijisikia kuumwa watumie njia za kijadi zaidi kuliko kuwekwa makambini au kwenye vizuizi tunazo ziita spitali maalum za corona ambazo kimsingi hazina vifaa wala dawa za msaada kwa hao wagonjwa.

4. Kuipunguzia serikali gharama za kukusanya watu kwenye makambi,na kusababisha wabadhirifu kupiga pesa kwa kisngizio cha corona.
 
This noise did not start Today For our President

but to this day our President is strong, he has never been shaken by any noise of corrupt slaves
 
Sawa, kama ana tiba mbadala basi iwekwe mikakati ya kuieneza, na tuone jitihada. Kodi zetu zielekezwe kupambana na korona, kwa kiasi cha kuridhisha.

Kujitenga sio tija. Yeye ni rais, kazi aliomba mwenyewe. Kama hawezi bas ajiuzulu. Yaani anatumia kodi zetu kujibanza, badala ya kuongoza taifa?
 
Tuliza kandanda dogo.
Mkuu wa nchi anajua nini kinaendelea duniani na nchini kwa ujumla.
Unajuaje kama katuma ujumbe Madagaska tayari ili kufuatilia dawa iliyogunduliwa kule?
Raisi wetu ni Mzalendo sana ,hata katika Tiba ya Corona
 
Ujumbe wangu haujabafilika. Kama kuna siasa kwenye andiko langu, lililokupelekea kuandiko hivyo, nalijibu yule aliyeingiza siasa.

JILINDE NA MLINDE JIRANI, dhidi ya maambukizi ya COVID-19
Aliyetoa hoja ya lockdown ni mtz yafaa ajibiwe kama mtz anaelitakia mema taifa na wananchi wake. Kufanya vinginevyo ndio kuingiza siasa. Amen.
 
Nchi imeshamshinda huwezi kukimbilia kijijini kwako wakati Nchi inapambana na Pandemic
 
The will justify the means
 
wakati hujibu....na wakati ni huu na bado tunaishi

majibu yamepatikana
 
Raisi amekuwa paranoid hadi ameanza kufikiria kuwa Makonda anapulizia covi19 kwenye mitaa ya Dar na kwenye mabasi

Hapo ndipo nilipoelewa kuwa dokta wake wa Mental health akae karibu na ikiwezekana waandae na kamba kabisa
Mungu kawaumbua
 
Na wewe ni mhusika
 
Dah!...what were you thinking , when you wrote this ?
 
Dah!...what were you thinking , when you wrote this ?
Tangu Paskari ahojiwe na kamati ya bunge sijui walimfanya nini kwa kweli. Alibadirika sana.

Sipati picha kipindi hiki angekuwa Mayalla yule tunaye mfahamu naamini jf tungekua tunashinda humu muda wote kwa kusoma nyuzi zake ambazo kwa uwezo wake angetupa mafunzo na mitazamo mizuri sana kuhusu mambo mbalimbali ya nchi yetu.

Bado naamini kwy uwezo wake akiamua kuacha uchawa ana madini mazuri sana. Zamani wanasiasa na viongozi wengi tu walikua wanafanya reference kupitia uchambuzi wake wa mambo kufikia hata kuwa mwandishi wa habari binafsi kualikwa ikulu kwa mara ya kwanza na akaifanyia vyema nafasi hiyo kwa kumtwanga maswali mazito ya kikatiba ambayo rais alionekana kuyakiuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…