Hata kama Chato ina facility za ikulu, bado siyo Chamwino wala Magogoni. Kuna symbolism pia, achana na tausi na vikorokoro vingineMkuu Chakaza, kukubali yaishe ni very healthy kwenye mjadala wowote, na kukitokea mabishano yoyote marefu, mnafikia suluhisho la kukubaliana kutokukubaliana, tunasonga mbele.
Siku ukipata facts za ziada, unaliamsha tena.
Mfano kama kwako Ikulu ni wale tausi, then utataka tupeleke tausi Chato, wakapelekwa na wote wakafa, unaweza kuliamsha kuwa Chato hapafai kuwa Ikulu kwasababu Ikulu ni tausj, tausi hawezi ku survive Chato, then Chato hapafai kuwa Ikulu.
P
Hao watu 10 wamekufa kwa uzembe wa serikaliRais Magufuli bado ni shujaa!, vifo ni 10 tuu, ndio kasi gani hiyo?!. Jee wajua wote waliokufa walikuwa na issues zao nyingine Corona ni kuwasindikiza tuu?.
Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia - JamiiForums
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
P
I second your argumentSasa mbona tunaambiwa Rais ni wetu? Kwanini kama ni wetu tusihoji mambo yake tukiyahoji tupewe jibu na Pascal kuwa hayo sio yetu tuwaachie wenyewe? Wenyewe kina nani ambao Rais ni wao?
Hebu tuwe wakweli, tokea aingie madarakani nchi hii imewahi kupita katika mapambano (vita) hatari yeyote kama hii? Kwa nini vita hatari kama hii ambayo yaweza kusambaratisha maisha ya watanzania na uchumi wao HQ ya mapambano ihamie Chato Nyumbani? Kwa sababu katika hali hii anahitaji kuonana na kujadiliana na kiongozi wenzake, wataalamu wa Afya na uchumi kila siku jee lawezekana hilo?
Kujidanganya sio jambo zuri, kama anatatizo la afya na anaogopa maambukizi ajiengue au tuambiwe. Kwa ni maambukizi ya kiingia pale alipo atakimbia na kwenda wapi tena? Madagascar kuliko gunduliwa chanjo asili?
Ahsante,Katika hotuba aliyoitoa Rais wetu hivi karibuni kule Chato, kuna mambo kadhaa ambayo yanatuonesha kwamba hali ya nchi kwa sasa ni tete:
1) Kwamba Rais yuko Chato kwa muda mrefu sasa
kwa kawaida Rais wetu Magufuli huenda Chato kwa mapumziko. hivi sasa ni muda umepita tunaona Rais yupo Chato. Corona ilipoanza kuchanganya, Rais wetu aliondoka Dar na kubanisha pale Dodoma, makao makuu. tulishuhudia Rais wetu akifanya MEDITATION kwenye majabali.
Naona baadaye akaona hiatoshi, akaamua kwenda mbali zaidi na hii Corona. na sasa tumeshuhudia akitoa Major Speech yake kutoka Chato. pia ni vema kukumbuka kwamba Rais wetu huwa ni mwoga sana wa majanga. amekuwa na kawaida ya kujitenga mbali na majanga, na kumwachia PM wake. hali kwa sasa ndio hiyo hiyo. Kamanda mkuu kaingia mitini. Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
2) Hotuba inayochanganya
Katika hotuba aliyotoa, badala ya kutoa mwanga katika mapambano na Corona, imeleta giza. badala ya kutia matumaini, imeleta hofu zaidi. siyo ajabu sekeseke la Amana lilifuatia mara moja. Hotuba yake inaonesha anatumia zaidi uelewa wake na hisia zake, badala ya kutoa msimamo kutokana na sayansi ya kisasa kabisa, utafiti mpana, mjadala makini na wasaidizi wake, ushauri mpana na makini, na tafakari iliyo pevu. Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
3) Anaongea na wakuu wa vyombo vya usalama
Rais Magufuli siku zote anapenda sana majeshi. akikwama popote pale anaita majeshi, na ni zaidi ya Rais yeyote aliyemtangulia. akikwama ujenzi, Jeshi. akikwama madaraja, Jeshi. na hata katika lile JANGA ALILOCHUMA MWENYEWE, JANGA LA KOROSHO, aliita jeshi. Katika kipindi hiki alichochanganyikiwa kabisa, aliona badala ya kuita maprofesa wa tiba na wataalamu wa magonjwa, wizara ya afya na wizara zingine, au hata Task force aliyounda mwenyewe kupambana na Corona, aliita wakuu wa vyombo vya usalama, majeshi.
Na kama alivyoita wanajeshi ili ikiwezekana wabangue korosho kwa buti, kasema wazi kabisa kwamba anataka kutumia jeshi kupambana na korona. na kweli, IGP akatafakari atafanya nini hapa kwa kutumia upolisi wake, akaamua kufanya kile ambacho wengi walishasema siku nyingi. kuzuia raia wa kutoka nje. sasa tunasubiri CDF Mabeyo yeye atafanya nini , atoe amri wanajeshi waitandike buti Corona? Au yule wa Magereza aitie gerezani Corona? Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
4) Visingizio vya ajabu
Labda katika hali inayoonesha kukwama zaidi, Rais ametoa visingizio. Badala ya kufuata njia sahihi za kukabiliana na Corona, aliamua kuziba masikio na kupokea sifa kutoka kwa wale waliomuona kwamba ni shujaa pale mwanzo.
sasa vifo vinaongezeka kwa kasi, analaumu dawa za kupulizia, analaumu kwamba pengine amehujumiwa kwa kuletewa Barakoa zenye virusi vya Corona! Huyu ni mtu asiyetaka kubeba lawama begani na kujisahihisha. kukubali na kukiri alikosea, na kusonga mbele. Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Rais Magufuli bado ni shujaa!, vifo ni 10 tuu, ndio kasi gani hiyo?!. Jee wajua wote waliokufa walikuwa na issues zao nyingine Corona ni kuwasindikiza tuu?.
Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia - JamiiForums
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
P
HALLELUYAJuzi kasema watu waliopona wanafika 100 alafu Leo kuna wengine 30 wamepona nahisi mpaka kufika jumatatu watakuwa wamepona wagonjwa wote wa corona...
Sisi wanalumumba tunaamini Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo itakuwa haina new cases ifikapo wiki ijao
Ikulu ya Chato ndio the command post ya vita dhidi ya Corona, is there any problem?.Rais anaweza kufanya kazi zake hata akiwa safarini. Lakini zaidi Rais wa Marekani yuko better equipped akiwa kwenye Air Force One. Inakuwaje basi kama kuna tukio kubwa, marais wa Marekani na wengine hurejea ofisini? Ni muhimu sana rais kuwa in control na pia aonekane yuko in control
Ong'wise Pasokali, unaamini kabisa na kwa akili yako yote,vifo ni kumi tuu?Rais Magufuli bado ni shujaa!, vifo ni 10 tuu, ndio kasi gani hiyo?!. Jee wajua wote waliokufa walikuwa na issues zao nyingine Corona ni kuwasindikiza tuu?.
Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia - JamiiForums
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
P
Ndugu yetu wewe, hii Corona unaijua au unaisikia tuu?. Jee ulibahatika kuuona mtiti wa Corona China, Italy, Marekani etc, unaujua uwezo wa nchi hizo ulinganishe na sisi, ingekuwa ni uzembe saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.Hao watu 10 wamekufa kwa uzembe wa serikali
Maambukizi yameongezeka na yanazidi kuongezeka kwa uzembe wa serikali
Mkuu Kididimo, tumefundishwa kutii mamlaka, kama taarifa rasmi ya mamlaka ni vifo 10, then ni vifo 10!.Ong'wise Pasokali, unaamini kabisa na kwa akili yako yote,vifo ni kumi tuu?
Kumbe ushageuza ni siasa. Ndio maana tunakwama. Lakini muda tu ndio utatoa uamuzi wa kweliMtasubiri sana wajasiriamali wa siasa watawale kama ambavyo mtu hujitahidi kufukuza kivuli chake.
Upinzani hadi sasa haujatoa mikakati mbadala zaidi ya kuitaka Serikali itoe amri ya "lockdown". Wanajua, ambao ni ukweli, kufanya hivyo kutawaweka Wananchi katika hali ngumu ya maisha kiasi cha kuleta vurugu na hatimaye uvunjifu wa amani.
Mifano iko mingi tu kwa nchi za jirani na uko ughaibuni, ambako raia wanaandama kudai kuondolewa kwa "lockdown". Isitoshe pamoja na uwezo kiuchumi na miundo mbinu ya tiba, katika nchi hizo wagonjwa na vifo kutokana na COVID-19 kunaongezeka.
UAMUZI WA RAIS MAGUFULI NI USHINDI MKUBWA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA COVID-19. Kinachotakiwa ni kila mtu kulinda uhai wake na wa jirani.
Umesema kweli mkuu ila wapenda chuki watasema unamtumikia kafiri ili chati yako ipandeNdugu yetu wewe, hii Corona unaijua au unaisikia tuu?. Jee ulibahatika kuuona mtiti wa Corona China, Italy, Marekani etc, unaujua uwezo wa nchi hizo ulinganishe na sisi, ingekuwa ni uzembe saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Hao watu 10 waliokufa, walikuwa na issues zao ambazo mwisho wa siku wangechomoka tuu, bali Corona imefanya kuwawahisha tuu, hakuna anayeweza kuzuia kifo!.
Kwa hatua tulizochukua sisi Tanzania, so far we are still the best labda kuje kutokea mabadiliko mbele ya safari but hapa tulipofika tusimlaumiane na sana sana tupongeze hatua zetu!.
P
huwezi kuwazuia watu kusema.Umesema kweli mkuu ila wapenda chuki watasema unamtumikia kafiri ili chati yako ipande
Ndio Kazi ya midomo hiyo ..nipe mbinu ya kupuuzia maneno makali yanayosemwa juu yakohuwezi kuwazuia watu kusema.
P
Ujumbe wangu haujabafilika. Kama kuna siasa kwenye andiko langu, lililokupelekea kuandiko hivyo, nalijibu yule aliyeingiza siasa.Kumbe ushageuza ni siasa. Ndio maana tunakwama. Lakini muda tu ndio utatoa uamuzi wa kweli
Utafiti hadi sasa unaonyesha Nchi zilizokuwa au zenye mrengo wa Kijamaa ( less or non -democratic) zinatoa au zina idadi ndogo za maambukizo na vifo kuliko zile za Kibepari ( more democtatic). Wewe ukiwa ni nguli wa habari, unakubaliana na hilo, na sababu kuu inaweza kuwa ni nini hasa.Mkuu Kididimo, tumefundishwa kutii mamlaka, kama taarifa rasmi ya mamlaka ni vifo 10, then ni vifo 10!.
P