Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

Hivi uchunguzi kuhusu fumigation ya Makonda.... Vyombo vya usalama vimefikia wapi?! Wanahabari tunaomba msaada Pascal Mayalla, Chakaza, Salary Slip
 
Huyu anakuambia alisukumiziwa ikulu,level yake ni ya kuteuliwa na Mungu kuongoza Malaika si kuchaguliwa na wabangaizaji ili awaongoze.proof ya uzuzu na umaiti wa mtu anayeitwa mtanzania ipo October 2020
 
Yaani Magufuli ni mwoga. Aliogopa kwenda Bukoba kwenye tetemeko. Alikimbia kupokea miili ya mashujaa wa ukweli, askari wetu 14, waiouwawa DRC. Akakimbilia Dodoma kufungua tawi la benki, akamuacha PM na ujumbe mzito toka UN na wengine wa kimataifa. Kumbuka Magufuli ni Commander in chief, anayetoa kamisheni. Leo askari wake wamekufa vitani, anaacha kuwapokea?
Tunajua ushujaa wa Baba wa taifa, mwalimu Nyerere, aliyeongoza vita vya ukombozi, Tanzania ikiwa ni frontline state. Nyerere shujaa aliongoza vita dhidi ya nduli Amin. Hakushika bunduki lakini alikuwa very consistent katika kuhamasisha na kuongoza. Mashujaa walipoanguka kufa vitani, mwenyewe aliongoza mazishi yao.

Magufuli anapenda kuvaa kombati, lakini mwoga balaa.

Hata kama angebakia Dar, ni kiasi cha kufuata masharti tu. Na hata akiugua Korona, ushujaa ndio utaongezeka! Wameugua kina PM wa Uingereza na Malkia, sembuse Magu?
 
Jipe moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Magufuli ni mwoga.

Hata kama angebakia Dar, ni kiasi cha kufuata masharti tu. Na hata akiugua Korona, ushujaa ndio utaongezeka! Wameugua kina PM wa Uingereza na Malkia, sembuse Magu?
Mkuu Mindi, jee unafahamu wagonjwa wa Corona wanaokufa, huwa wana issues gani kabla?.

Jee unajua health status ya mtu wetu kama na yeye ana any issue, kakolona kakipita kanakula kichwa?.
Do we have to take such risks?. Kama huko alipo is safe heaven, let him be there for as long as it takes.
P.
 
Je usahihi wa hoja ni upi ni Rais kafeli au kafaulu vifo ni 10 mpaka sasa wenzetu hatunao tena maambukizi 254 acha mengine tusiyoyajua.nadhani ni wakati muafaka wa mm na ww kutumia akili zetu pasipo kusubiri wengine kufukiri kwa ajili yetu hata ugonjwa huu ulikotoka watu waliambiwa wachukue tahadhali wakajisahu kwa sababu walilemaa ktk kulaumu wakashitukia ugonjwa uko milangoni mwao hapo ni akili mkichwa.kama mkichwa hamnazo ndio basi,maana tukumbuke wamesema dawa hakuna.
 
Hiki kisa cha mzee ni kama cha mzee tola mchoyo, alikuwa anawaambia wanae kuna njaa hamna chakula halafu yeye usiku kwenye giza anakula vinono mwisho wake akala konokono
Mnamkumbuka Tola mchoyo? - JamiiForums
 
[emoji81][emoji81] nime cheka sana..pilato kabaha
 
Mkuu umeeleza vizi kabisa mm sina cha kuongeza ila namwambia rais ajiandae kutoka ikulu arudi chato kulima kuongoza watu hawezi na katika kipindi hiki kigumu ndipo anaonyesha namna gani hawezi kutuongoza watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtasubiri sana wajasiriamali wa siasa watawale kama ambavyo mtu hujitahidi kufukuza kivuli chake.

Upinzani hadi sasa haujatoa mikakati mbadala zaidi ya kuitaka Serikali itoe amri ya "lockdown". Wanajua, ambao ni ukweli, kufanya hivyo kutawaweka Wananchi katika hali ngumu ya maisha kiasi cha kuleta vurugu na hatimaye uvunjifu wa amani.

Mifano iko mingi tu kwa nchi za jirani na uko ughaibuni, ambako raia wanaandama kudai kuondolewa kwa "lockdown". Isitoshe pamoja na uwezo kiuchumi na miundo mbinu ya tiba, katika nchi hizo wagonjwa na vifo kutokana na COVID-19 kunaongezeka.

UAMUZI WA RAIS MAGUFULI NI USHINDI MKUBWA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA COVID-19. Kinachotakiwa ni kila mtu kulinda uhai wake na wa jirani.
 
Pascal njoo huku mbezi au popote njia ya kwenda mbweni utaliona lile gari la city linavyosomba maiti. Juzi walizikwa 9 mzee na watu wameona kwa macho.
Endelea kumwamini ummy

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapita njia wajitahidi kupiga picha, mbona siku hizi ni rahisi tu ukiwa na smartphone.
Kila mtu kwa namna yake apaze sauti hata kwa picha.
Yasemekana hata michango haijawafikia walengwa na harakati nzima ya kupambana na ugonjwa.
 
Mpaka sasa tumeshapima watu wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifo 10 wakati daily vifo vinaripotiwa social media.Anatumia mkono wa chuma kubana Media,Media zingekuwa huru paka sasa Watu wangeigia barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…