Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

Chlorine inafanya kazi kama bleach. Hakuna tofauti kwenye kufanya kazi. Kwa maoni yangu, Makonda yuko sahihi.
Mkuu, bleach ni Chlorine. Actually Mkulu kudai haiui Virus sijui alipata wapi hiyo. Ndiyo matatizo ya kuongea na wana Usalama badala ya wana afya.

Chroline ndiyo disinfectant inayotumika mpaka kudisinfect DNA. Sasa kama ina denature DNA itamshindwaje virus.

Ile issue kachemka kama Trump na issue yake ya kutumia disinfectant ndani ya mwili.
 
Well said.
 
Huyu anakuambia alisukumiziwa ikulu,level yake ni ya kuteuliwa na Mungu kuongoza Malaika si kuchaguliwa na wabangaizaji ili awaongoze.proof ya uzuzu na umaiti wa mtu anayeitwa mtanzania ipo October 2020
Hahaha! Ben Saanane maskini ya Mungu!😞
 
Jiwe ni jiwe kwenye kupambana na upinzani na sio mengine Kama ufisadi,ajira, uchumi,umoja huku jiwe ugeuka ni kokoto tu.
Saa hizi kila kukwama atasingizia corona ndio itakayobebeshwa lawama
 
Akili na Uthubutu wa wa Tanzania utapimwa kwenye jambo hili kuelekea October 2020 ifikapo August itatangazwa lock down kwa mbwembwe na kugawa vyakula vya hongo kuelekea October......
Maiti zinaweza chagua sanda?
 
Afanyeje kama mamlaka hiyo hiyo inatoa takwimu kinzani
Mara wamepona 11 Oooo hao sio bali ni 100!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kazi nyepesi Kama kuongoza watu hasa Kama dhamira yako ni kutatua shida zao, uongozi ni mgumu Kama nia yako ni kupambana na watu
 
Muache kumsimanga mh Rais... Sultan wa Oman, alihamisha ikulu yake toka Oman kwenda Z'bar na akawa anaongoza nchi ya Oman kutokea Zanzibar!
 
Umewahi ona wapi dikteta jasiri duniani, madikteta wote upenda kuuwa for fun lkn ndio wanaongoza kwa kuogopa kufa check tu hata ulinzi wao cheki dikteta Kama Kim kipank wa Korea wako loney, fully stressed,wamejaa hofu 24 hrs Kama magaidi awajiamini Kama wao ni me au ke utumia ukali au dola Kama njia ya kujicamaoflage watu wasijue udhaifu wao
 
Pascal njoo huku mbezi au popote njia ya kwenda mbweni utaliona lile gari la city linavyosomba maiti. Juzi walizikwa 9 mzee na watu wameona kwa macho.
Endelea kumwamini ummy

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu. Chukua Video. You are credibility is non existent. So ongeza jitihada. Pole pia. Sijui Mjomba wako au binamu. Ameondoka kimya kimya.

By the way kama Corona inakuondoa. Ujue wewe ulishakuwa safarini. So ongeza nyama kwenye andiko lako. Vipi Wajomba walikuwa wanaumwa nini. COVID-19. haina dawa. Ukizidiwa sana ujue una magonjwa mengine na low immunity. Kuleni mchicha wewe na Familia yako. Mana ni Hatari.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal na wewe pia haufahamu, bi Mkubwa yupo kwenye koma muda sasa karibu mwaka, mimi naanza kuhisi maumivu anayo yapata. Sisi sote tunapenda mama zetu. Mwache Mkulu awe naye akimuangalia..
 
Sasa Paskali unaleta utani. Yaani Magufuli na pushup zote zile, jamaa yuko fiti usipime!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…