Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

Hata kama Chato ina facility za ikulu, bado siyo Chamwino wala Magogoni. Kuna symbolism pia, achana na tausi na vikorokoro vingine
 
Hao watu 10 wamekufa kwa uzembe wa serikali

Maambukizi yameongezeka na yanazidi kuongezeka kwa uzembe wa serikali

Biasharara zinafungwa na watu wanaikimbia Dar es salaam kwa uzembe wa serikali

Wagonjwa wa Corona wanatoroka ni uzembe wa serikali, wanazidi kusambaza ugonjwa mitaani.
Siwalaumu wagonjwa hata kidogo, serikali kwa 100% wamefanya ugonjwa usambae

Mfano: Sumbawanga kulikuwa /kuna wagonjwa wawili (2) hawapewi huduma yoyote, hata kupata chakula shida
Wanazidiwa hata uangalizi hawana wauguzi wanaogopa kuwahudumia kwasababu hawana vifaa.
Kwanini wagonjwa wasitoroke?
Kuna mtu anapenda kufa akijiona
Huu ni uzembe wa nani?!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
I second your argument
 
Ahsante,
Ya korosho wanaodai malipo yao hawatanyamaza.
Makinikia; kuna porojo za mtumbua macho. Hakuna cha faida nusu kwa nusu wala ubavu wa kumfukuza Barrick.
Hili la covid-19 ndio kakwama kabisa. Mtu anaetamba kununua midege kwa CASH. Kujenda reli ya umeme na madaraja ya mjini bila kuombeleleza, kashindwa kuwanunulia watz hata barakoa. Anatuletea biashara za uchawi wa kwao gamboshi. Nadhani kesha fika MWISHO. Si ang'atuke tu WAJAMENI.
 
Juzi kasema watu waliopona wanafika 100 alafu Leo kuna wengine 30 wamepona nahisi mpaka kufika jumatatu watakuwa wamepona wagonjwa wote wa corona...
Sisi wanalumumba tunaamini Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo itakuwa haina new cases ifikapo wiki ijao
HALLELUYA
 
Ikulu ya Chato ndio the command post ya vita dhidi ya Corona, is there any problem?.

Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums
P
 
Hao watu 10 wamekufa kwa uzembe wa serikali

Maambukizi yameongezeka na yanazidi kuongezeka kwa uzembe wa serikali
Ndugu yetu wewe, hii Corona unaijua au unaisikia tuu?. Jee ulibahatika kuuona mtiti wa Corona China, Italy, Marekani etc, unaujua uwezo wa nchi hizo ulinganishe na sisi, ingekuwa ni uzembe saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.

Hao watu 10 waliokufa, walikuwa na issues zao ambazo mwisho wa siku wangechomoka tuu, bali Corona imefanya kuwawahisha tuu, hakuna anayeweza kuzuia kifo!.

Kwa hatua tulizochukua sisi Tanzania, so far we are still the best labda kuje kutokea mabadiliko mbele ya safari but hapa tulipofika tusimlaumiane na sana sana tupongeze hatua zetu!.
P
 
Kumbe ushageuza ni siasa. Ndio maana tunakwama. Lakini muda tu ndio utatoa uamuzi wa kweli
 
Umesema kweli mkuu ila wapenda chuki watasema unamtumikia kafiri ili chati yako ipande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee yuko comfortable zaidi akiona Top Millitary officials na Senior wao wanamzunguka muda wote hujiulizi ziara za kawaida kabisa Ila utamkuta CDF japo sio sana ila hawa IGP ,DG TISS,CGP na CGI ni ngumu kuwakosa Around Alipo mshua
 
Kumbe ushageuza ni siasa. Ndio maana tunakwama. Lakini muda tu ndio utatoa uamuzi wa kweli
Ujumbe wangu haujabafilika. Kama kuna siasa kwenye andiko langu, lililokupelekea kuandiko hivyo, nalijibu yule aliyeingiza siasa.

JILINDE NA MLINDE JIRANI, dhidi ya maambukizi ya COVID-19
 
Mkuu Kididimo, tumefundishwa kutii mamlaka, kama taarifa rasmi ya mamlaka ni vifo 10, then ni vifo 10!.
P
Utafiti hadi sasa unaonyesha Nchi zilizokuwa au zenye mrengo wa Kijamaa ( less or non -democratic) zinatoa au zina idadi ndogo za maambukizo na vifo kuliko zile za Kibepari ( more democtatic). Wewe ukiwa ni nguli wa habari, unakubaliana na hilo, na sababu kuu inaweza kuwa ni nini hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…