Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

Okay...
 
Hii team bana ilikuwa Nzuri hata kwa kuitizama tu. pamoja na umaskini wao walimjambisha kaburu!

I wish ningekuwa mmoja wao. Club mrungushi ilifikia wapi?

Ila Mobutu alikuwa km mzigo.
 
Kwanini unawaita kwa jina hilo la udhalilishaji?
Watu wanaogandamiza demokrasia waziwazi,watu wanaoua wapinzani wao,mafisadi,wezi wa mali za umma,wang'ang'anizi wa madaraka,incompetent,wauaji wa wananchi wao,e.t.c unataka niwaite jina gani zuri zaidi ya hilo?
 
Future ya africa alikua nayo Gaddafi na mawazo yake yalikua makini ila wakamuita dicteta wakamuua. Sikuzote ukitaka kuwakomboa watu ki fikra lazma wajuba wa mambele wakuite dicteta.

Hakuna makaburi ya waoga ila kuna makaburi ya mashujaa .
Fikra haitakiwi ijengwe juu ya mtu. Mtu ni nafsi moja na inakufa muda wowote. Fikra ya maendeleo inatakiwa kujengwa juu ya Taasisi. Nchi au jamii yoyote yoyote inayotegemea matumaini yake juu mtu moja ili iweze kupata kuendelea kamwe haitoweza kufika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…