Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Hakika viongozi hawa waliipenda sana Afrika kwa moyo mmoja.Kukamikisha hayo 2 hapo juu unahitaji viongozi wenye kaliba na IQ zaidi ya Gaddafi, Nyerere,na Nkrumah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika viongozi hawa waliipenda sana Afrika kwa moyo mmoja.Kukamikisha hayo 2 hapo juu unahitaji viongozi wenye kaliba na IQ zaidi ya Gaddafi, Nyerere,na Nkrumah.
Semea nafsi yako mkuu, sema wewe mtanzania MATAGA, Watanzania wa sasa siyo wajinga.sisi Watanzania tunamuunga mkono Rais Magufuli kupinga ubeberu na kutetea Wanyonge.
Daaah, this is a real sad reality of life.tuendelee kucheza ngoma anayopiga wazungu na tuendelee kukamilisha ecosystem ya hapa duniani.
Mhhh, aiseeMaviongozi yetu haya haya yanayokwapua pesa na kuzificha ulaya huku mengine hata kizazi hayana siku yakifa zinachukuliwa na wazungu wanakuja kununua migodi Afrika
Okay...Kinachoiponza Afrika ni pamoja na:-
Mosi; Ubeberu na Ukoloni mamboleo ambapo Mabeberu waliendelea kuzinyonya nchi zetu kwa njia ya mikopo na misaada ya masharti magumu, pamoja na kuhakikisha kwamba hakuna umoja wenye nguvu baina ya mataifa ya Afrika.
Sawa mkuu
Kaburu pamoja na Wareno wa Msumbiji na Angola...Hii team bana ilikuwa Nzuri hata kwa kuitizama tu. pamoja na umaskini wao walimjambisha kaburu!
Mobutu alikuwa kibaraka wa mabeberu tuI wish ningekuwa mmoja wao. Club mrungushi ilifikia wapi?
Ila Mobutu alikuwa km mzigo.
Mhhh...Sasa kwenye huu uzi mambo ya Magufuli na TL yameingiaje jamani? Mbona JF siku hizi tunakwama?
Waafrika bado tuna safari ndefu sana ya mabadiliko mkuuWatu baadala ya kujadili kilichoko mezani mtu anakuja na mambo ya Magu au TL sijui ni kuvia akili kwa sababu ya vyakula ,mm sijui.
Mhhh...Magoigoi yanaongoza Afrika
Kwanini unawaita kwa jina hilo la udhalilishaji?Magoigoi yanaongoza Afrika kuanzia Tanzania,Zimbabwe,Burundi,Ivory cost,guinea Bissau,Uganda,e.t.c usitegemee chochote cha maanaView attachment 1629819
Watu wanaogandamiza demokrasia waziwazi,watu wanaoua wapinzani wao,mafisadi,wezi wa mali za umma,wang'ang'anizi wa madaraka,incompetent,wauaji wa wananchi wao,e.t.c unataka niwaite jina gani zuri zaidi ya hilo?Kwanini unawaita kwa jina hilo la udhalilishaji?
R.I.P Colonel Gadaffi...Future ya africa alikua nayo Gaddafi na mawazo yake yalikua makini
Fikra haitakiwi ijengwe juu ya mtu. Mtu ni nafsi moja na inakufa muda wowote. Fikra ya maendeleo inatakiwa kujengwa juu ya Taasisi. Nchi au jamii yoyote yoyote inayotegemea matumaini yake juu mtu moja ili iweze kupata kuendelea kamwe haitoweza kufika mbali.Future ya africa alikua nayo Gaddafi na mawazo yake yalikua makini ila wakamuita dicteta wakamuua. Sikuzote ukitaka kuwakomboa watu ki fikra lazma wajuba wa mambele wakuite dicteta.
Hakuna makaburi ya waoga ila kuna makaburi ya mashujaa .
CHADEMA are stupidCCM must go, oooph!!!! Lord.
Naaam, nimeipenda sana hii mkuu...Fikra haitakiwi ijengwe juu ya mtu. Mtu ni nafsi moja na inakufa muda wowote. Fikra ya maendeleo inatakiwa kujengwa juu ya Taasisi.