Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kwa kumshambulia Makamba wanadhani wanamshambulia Kikwete wasiyempenda.Kwa nini kila anayetoa dukuduku lake mnakimbilia kusema ana chuki kwa makamba?
Mbona watu wanapotoa dukuduku kuhusu maji hamsemi wana chuki na aweso?