samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Ukimsikiliza ndani ya bunge alichoongea siku za karibuni ametoa maelezo very technical na way forward, labda tuamue tu kuwa wabishi ila kitalaam nimemuelewa sana..
Mwisho pia wa maelezo yake yakitalaam akawajibu mahasimu wake wa kisiasa na kutoa picha ya kinachoendelea kisiasa ndani ya CCM..
Kuna tatizo sasa hivi kwenye mifumo ambalo ni baya sana, Kuna watu ni Pro -JPM na wengine ni sukuma gang wanaoamini kwenye fikra za JPM kila alichosema na kufanya ni sahihi.... akija mtu mwingine na kusema hapa pamekosewa basi tayari ni tatizo, shida nyingine inayomuandama Makamba ni kuutaka kwake Urais na uswaiba wake na JK..
Makamba January ameeleza vizuri budget ya Tanesco kwenye R&M kwa miaka kadhaa, ukimsikiliza unapata picha R&M was poor na lilikuwa swala la muda tu, ameelezea uduni wa substations na distributions lines nk.....the speech was very clear and technically kwa wenye uelewa.....mengine ni siasa za kina msukumu na wengine dhidi yake baada ya ile reshuffle ya Makamba ndani ya Tanesco...