Kuishi Tanzania raha sana.
zipo sehemu ambazo sijawahi kuona umeme ukikatikatika japo naona baadhi ya watu kutoka maeneo mengine wanalalamika..
Tanzania hakuna siku ambayo mgao umeme uliisha tuache kudanganyana..
Shida kubwa ni miundombinu mibovu ya umeme, kutokuwa na back up ya vyanzo vingine vya umeme, wafanyakazi vilaza ndani ya Tanesco ambao wapo miaka nenda rudi.
Serikali iweke nguvu kwenye ujenzi wa Stieggler ili Taifa liwe na backup kwenye uzarishaji umeme, serikali iwekeze kwenye uboreshaji wa miundo mbinu ya umeme, Tanesco inadirishe mfumo wake wa kuajiri ( tuache kuajiri vilaza na kamlete, tuajiri based on exposure, competency na level of education), Tanesco ianze kuendesha shirika kibiashara na sio hizi blah, blah iwe na mtaji wake na budget zake yenyewe, watendaji wapimwe based on perfomance na walipwe pia based on their perfomace...