Samia anapanga mawazir watakao msaidia 2025, JPM alimkumbatia makonda lkn dogo alizidi kuaribu hatimae akamtema , hivyo hivyo kwa Samia atamtema Tu Makamba 🤣Uliamini ile kauli ya mgao wa umeme Tanzania utakwisha baada ya siku kumi?! over my dead body. Waziri wa Nishati ni much know sana mdomoni lakini sio kwenye utendaji.
Makamba amelegea haswa, anapewa kero zinazoihusu wizara yake anajibu kama tatizo ni uwaziri au urais wa Samia, huyu jamaa anaficha udhaifu wake kwenye kivuli cha Rais, sasa wacha wote waangushiwe jumba bovu.