WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Anaongelewa sana kwa sababu alijifanya Mungu lakini matokeo yake korona ikamfagia pamoja na kuiba uchaguzi.Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
🙏🏽Kiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
🤣🤣🤣🙌🏿Anaongelewa sana kwa sababu alijifanya Mungu lakini matokeo yake korona ikamfagia pamoja na kuiba uchaguzi.
Amegoma kufa huku yupo kaburini? acha ukilazaWamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
Hata huyo hakuna kituKiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Yaani hao wanaweweseka kila siku,mwingine kaja kuchambua maneno ya CDF kuwa kuna mambo yamejificha nyuma yake.Amegoma kufa huku yupo kaburini? acha ukilaza
Airport ya Mwanza ingekuwa tayari km angekuwepo. kwa sasa dana dana za maneno matamu ya kisiasa.!Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
Hakika.Kiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Muhimu kafa kama watu wengine mengine ni maigizo tupuYaani hao wanaweweseka kila siku,mwingine kaja kuchambua maneno ya CDF kuwa kuna mambo yamejificha nyuma yake.
Si mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii
Wewe ni dubwasha kuliko madubwasha yote.Si mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii
Nyerere mwaka 1999 mpka mwaka 2003 bado alikuwa midomoni mwa watuKumbuka huyu ana siku maalum. Lakini mwamba JPM pamoja na siku ya kifo chake kuingizwa mambo mengine ila bado anaishi mioyoni mwa watu. Ipo siku ukweli wa kifo chake utawekwa wazi! Tukazane tu na maombi
Wajinga hupenda kusifia upumbavu jamaa hilo sijui limelewa.Samia ni Rais bora..!?. kweli kazi tunayo.....!!
Mmh miaka 3 keshazidi marais wote.Si mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii
Akina Aggrey Mwanri, Prof Kabudi na Alhad na Kangi Lugora walikuwa wanamuita Magufuli "Mheshimiwa mungu" naye alikuwa hakatai.Anaongelewa sana kwa sababu alijifanya Mungu lakini matokeo yake korona ikamfagia pamoja na kuiba uchaguzi.
Sasa wapi ambapo hajagusa miaka hii mitatu. Jpm hajawahi kuajiri kwa miaka yote aliyokaa madarani na pia private sector ilikufa. Samia ameajiri mamia kwa maelfu na private sector kafufuaMmh miaka 3 keshazidi marais wote.
Vichaa ni wengi.
Aiseee umenichekesha sana.Akina Aggrey Mwanri, Prof Kabudi nanAlhad na Kangi Lugora walikuwa wanamuita "Mheshimiwa mungu" naye alikuwa hakatai.