Sasa ni rasmi ukiwa Waziri Tanzania usipokuwa Bilionea umejitakia tu Mwenyewe kwa Ujinga wako

Anza na kuomba kazi ya ufagizi ofisi ya Lumumba ukiwa na kadi yako ya chama mfukoni, sasa hapo kuwa mchangamfu ukifika tu jifagilishe kwenye mlango mkuu na jitahidi kupokea mikoba ya mabosi waingiapo ofisini, usiwe na aibu watakuzoea tu. Kuna siku mmoja atakuita ofisini kutaka kukufahamu zaidi hspo sasa unaingia rasmi kwenye mfumo kwani utaeleza elimu yako na kilichokulazimisha kufanya kazi ya ufagizi, amini usiamini wiki haitapita utaingizwa kazi za ofisini, hapo sasa piga magwanda ya kijani kila siku. Rudi tena kwa aliyekuingiza ofisini mwombe ushauri jinsi ya kugombea nafasi za chini na ipi itakufaa kutokana na elimu yako japo kwa CCM si kigezo.
Nakutakia kila la kheri.
 
Funguka gentaa fungukaa.......
Kama ni hela njoo mamtoni tusaidiane kwenye majumba ya kutunza wazee......wakimaliza ubunge miaka 5 angalau mtafanana salio...na kama sio mtu wa starehe unaweza kuwazidi...inshaallaash
 
Ufisadi wa awamu ya sita ni wa kihistoria.umewakusanya wapigaji wote wa awamu ya nne na wapya kwa pamoja wanashindana kutafuna kodi zetu. Just imagine kiongozi anavaa saa ya shs 111m mkononi aliwapungia masikini wasiomudu milo miwili kwa siku ili wamshangilie!
 
.. Kule deal ni Perdiem Foreign... Kama alivyoenda kwenye mashindano yq Shule zw Msingi ya Afrika.. Ambako Fountain Gate walichukua ubingwa.. Na timu zilishiriki 4,Mechi ya nusu fainali na fainali ziliopigewa siku moja😁
 
Na ashone mashati atie nembo ya ❀SSH
 
Kweli kama waziri wa ardhi alisema alipigiwa simu akiulizwa million 300 itumwe kwenye namba gani na watu ambao wamejenga sheli sehemu ambayo sio sahihi naunga mkono hoja.
 
Pia kuna zile ziara zao kwenye vitengo, wakurugenzi watendaji kwa kujikomba kwao na kutaka kubaki kwenye madaraka hutoa bahasha za kaki kulingana na hadhi ya taasisi, pia kwa wale wanaokaimu nafasi ili wathibitishwe kuwa wakurugenzi wa taasisi zao nao wana mchezo wa kuwakirimu maboss wao ili wapendekeze majina na kuwa maboss, mkuu si mawaziri tu hata wakuu wa mikoa hakuna masikini wote na matycoon.
 
Dah inauma sana aisee RIP jpmmmm time will tell.
 
Unadhani hawali? Wanakula sana sema kiwango chao hakifikii hao wengine. Wanashirikiana na viongozi wa wizara kupiga fedha vibaya sana.
 
Tumbua tumbua sasa hivi hakuna,ni mwendo mpoto mpoto ukija kwenye upande wa halmashauri nako uozo mtupu,TRA,POLICE, UHAMIAJI ,MAHAKAMA,ni viwango vya pro max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…