Sasa ni Vita rasmi ya Sports Extra ya Clouds FM dhidi ya E-Sports ya EFM Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5

Aisee hiyo Avatar ondoa, unatuaibisha sisi wana wa Israel na threads zako za kishamba
 
Sports Extra nakumbuka kiko 3 mpaka 4 usiku. Nina muda mrefu sana sijasikiliza redio aisee! Siku hizi ni mpaka saa 5.!
 
Sports Extra bado itaendelea kutamba kwa Maana Clouds wanasikika mikoa mingi zaidi yani kwa Tanzania bado Clouds ina wasikilizaji wengi kuliko E fm.
Hapa ni wazi unatuambia kuwa Clouds inasikilizwa kwa kuwa wasikilizaji hawajaweza kufikiwa na mawimbi ya redio nyingine na sio kwa sababu ya ubora wa vipindi vyao.

Ni ile unalazimika kula chakula kibovu cha mama lishe kwa kuwa unakula kwa mkopo, ila ungekuwa na pesa ya kutosha ungekula chakula kizuri sehemu nyingine.
 
Wote hawana substances kwenye content zao,huwa nasikilizia hivyo VIPINDI kipindi Cha usajili bongo na tukio Kama la Feisal,sababu wanakula na ubuyu flan wa siasa za mpira wetu
 
Wewe ni muongo sana kwasababu namna ya kuendesha hizo timu kwahuo mfumo alianza mzee mengi kutoa huo ushauri
 
Muda wa kusikiliza redio masaa mawili kusikiliza kipindi cha Michezo unautoa wapi? Wew ni jobless?
Nyie mnaofanya kazi hadi usiku ni waoga wa maisha,kazi mwisho jioni usiku ni muda wa kupumzika,au we ni kolokoloni nini?
 
Naombea kipindi hicho yule SHOGA SAID asiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…