G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Sidhani kama serikali inahitaji kufanyia kazi maneno ya mitandaoni,na kama wewe ni mmoja ktk viongozi yamkini ni mbunge tutaenda kusema bungeni hukoHuu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo.
Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu wakapongeza hatua hiyo.Sasa tujiulize, mikataba aliyoingia Magufuli tunaijua?Kama hatuijua, tuna uhakika gani haiwezi kuwa kama ile ya wakati wa Kikwete ukiwemo huo wa Bandari ya Bagamoyo?
Kwa msingi huo, nashauri mikataba ya Magufuli yote ichunguzwe na iwekwe wazi na pia tuanze sasa utaratibu wa kupitisha mikataba yote Bungeni na utaratibu huu uwe wa kisheria.
Uzalendo ni vitendo na sio maneno au propaganda za kisiasa.
Tunachojua JPM alikua kiongozi shupavu na tutamkumbuka,hatuamini kama aliweza kua na makando kando
Nje na hivyo utakua unatupigia kelele tu