mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Hata angewatukana zaidi ya hapo kwamfano agewaita wasenge hawawezi kujiuzuri hi ni bongo ukijiuzuri ni kama kujimaliza kiuchumi.......si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile.