mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,262 Reaction score 12,855 Dec 1, 2021 #21 FUSO said: si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile. Click to expand... Hata angewatukana zaidi ya hapo kwamfano agewaita wasenge hawawezi kujiuzuri hi ni bongo ukijiuzuri ni kama kujimaliza kiuchumi.......
FUSO said: si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile. Click to expand... Hata angewatukana zaidi ya hapo kwamfano agewaita wasenge hawawezi kujiuzuri hi ni bongo ukijiuzuri ni kama kujimaliza kiuchumi.......
K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,180 Reaction score 3,295 Dec 1, 2021 #22 hii itakuwa hadithi ya mwendawazimu.ni hawa mawaziri njaa wa nchi hii ambao wengine walisema waliokotwa majalalani.
hii itakuwa hadithi ya mwendawazimu.ni hawa mawaziri njaa wa nchi hii ambao wengine walisema waliokotwa majalalani.