Sasa ni zamu ya cuba! Step by step wafadhili ugaidi wote duniani wanaondolewa

Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.

Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.

Ahsante Trump
US chini ya mwehu Trump wataivamia Cuba kwa sababu wamefeli vita ya Iran, hivi sasa kiherehere cha Trump kuivamia Iran kimeisha, anajitafakari mara tatu tatu tofauti na mwanzoni alijitia hataki mazungumzo ila sasa anatafuta mazungumzo anakwenda hadi China.

Hivi sasa Israel inazishawishi nchi kama UAE kuungana kinguvu na kuishambulia Iran... Wameaibika pakubwa sana..
 
Yawezekana maombi ya wanaoonewa Duniani, yamefika wakati wa kusikilizwa. kuna wakati Mungu huwajibu wanadamu au kuwaadhibu wanadamu kwa kupitoa mikono ua wanadamu.

Wayahudi walipokengeuka, Mungu aliwaadhibu, walisindwa vita na kuchukuliwa mateka. Baada ya kutubu na kumruudia Mungu, aliwaletea manabii waliowaongoza kuondoka utumwani.
Ongezeni maombi na jitihada dhidi ya wanaotudhulumu. Hakuna ombi lifamywalo kwa imani, lisilomfikia Mungu.
 
Ugaidi wa kukariri ,mtu aliyeua watu wengi duniani anaita wengine magaida, mtu alitumia bomu hatari peke yake anaita wengine magaidi..kweli mzungu aliwashika wajinga kwa kupandikiza tamaduni zake , hata kusikia hausikiii huyu USA kashababisha vita kila pembe ya dunia ..Kule Afghanstan kaua watu wengib, mpaka sasa mayatima ni wengi na Taliban wanapambana kuirudisha kutoka kwenye umaskini mkubwa
 
magaidi ni hawa mbwa wewe

When looking at history, several major world powers have caused significant loss of life due to foreign military interventions, invasions, or colonial expansions. The exact impact often depends on whether you look at modern history (post-WWII) or older global empires.

The countries most frequently cited by historians regarding high numbers of casualties from foreign interventions include:

1. The United States​

In modern history, the U.S. has conducted the highest number of foreign military interventions.

  • The Vietnam War (1955–1975): Estimates of total deaths range between 1.3 million and 4.2 million people, including massive civilian casualties in Vietnam, Laos, and Cambodia.
  • The Korean War (1950–1953): An estimated 2.5 to 3.5 million people died during the conflict, which involved a major U.S.-led UN intervention.
  • Post-9/11 "War on Terror" (2001–Present): According to Brown University’s Costs of War project, direct violence from U.S. interventions in Iraq, Afghanistan, Pakistan, Syria, and Yemen has killed over 940,000 people (including over 430,000 civilians). If indirect deaths (due to disease, displacement, and starvation caused by the wars) are included, the toll rises to an estimated 4.5 million people.

2. Great Britain (The British Empire)​

If looking at a broader historical timeline, the British Empire caused immense loss of life through colonial interventions, forced resource extractions, and military campaigns across Africa, Asia, and the Americas.

  • India: British colonial policies and economic interventions led to catastrophic famines. The Bengal Famine of 1943 alone resulted in an estimated 2 to 3 million deaths. Some historians argue that over the centuries of British rule, tens of millions died due to direct and indirect consequences of colonial subjugation.
  • The Opium Wars & Conquests: Interventions in China, the Scramble for Africa, and the suppression of independence movements (such as the Mau Mau uprising in Kenya) resulted in hundreds of thousands of deaths.

3. The Soviet Union / Russia​

Both the Soviet Union and modern Russia have engaged in major interventions with heavy human costs.

  • Soviet-Afghan War (1979–1989): The Soviet invasion and intervention in Afghanistan resulted in the deaths of an estimated 1 million to 2 million Afghan civilians and displaced millions more.
  • Eastern Europe & Post-Soviet Interventions: Forcible interventions to suppress uprisings in Hungary (1956) and Czechoslovakia (1968), brutal military campaigns in Chechnya, and the modern full-scale invasion of Ukraine have resulted in hundreds of thousands of military and civilian casualties.

4. European Imperial Powers (Spain, France, Belgium)​

  • Spain: The Spanish conquest of the Americas in the 15th and 16th centuries resulted in the collapse of the Aztec and Inca empires. Military violence combined with introduced diseases wiped out an estimated 80% to 90% of the indigenous population (amounting to tens of millions of people).
  • Belgium: Under King Leopold II, Belgium's brutal colonial intervention and forced labor regime in the Congo Free State (1885–1908) resulted in the deaths of an estimated 10 million Congolese people due to murder, starvation, and disease.
  • France: French colonial interventions, particularly the brutal Algerian War of Independence (1954–1962), resulted in the deaths of hundreds of thousands of Algerians (estimates range from 300,000 to over 1 million).
 
Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.

Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.

Ahsante Trump
View attachment 3592422
Wewe mlokole pori wakati unaandika huu uzi ulikua umekatwa kichwa? Au mumeo ndio kakulazimisha kuandika haya matapishi ya kitoto?
 
Trump yupo kujiwinda na Uchaguzi wa Nov !!

sasa kaona Iranian imemchafua sana!!!

so anajaribu Cuba lkn pale anakwama vibaya mno.!!

CUBA sio ya kuichezea kabisa.
Kijiografia Cuba imekaa mahali ambapo inaweza kuishambulia US kwa urahisi sana, maana umbali ni kama kilomita 150 hivi hadi US, kuifikia Washington ni kama kilomita 2000 hivi..

Iran, Russia na China wakiisaidia Cuba silaha, hio vita itakuwa ngumu sana kwa US, imagine New York inlengwa pale Wallstreet... au wanashusha mzigo pale Area 51 Nevada...
 
Trump anajaribu kuficha aibu ya kushindwa vibaya na Iran kwa kuivamia Cuba lakini anaweza jikuta anajiiza kwenye tope zaidi vita haijawahi kuwa rahisi kama wengi wanavyo fikiri.

Hata kule Venezuela kazi ilikuwa rahisi kwa sababu ya usariti wa viongozi wa jeshi tofauti na hapo isingekuwa rahisi hata kidogo.
 
Una umri gani?

Cuba na ugaidi wapi na wapi.

Kuna Gaidi kama Marekani.

Hivi Netanyau South Afrika bado hawajamkamata tu? Ooooh... Ulisema alishauawa. Khayatolla Khameni hajambo huko Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…