Huo ndio ugaidi!?Cartels za mexico zinazouza madawa zinapoke funding kutoka Urusi na Iran na Qatar na cuba inahusishwa katika kutengeneza network hii ya uhalifu kuelekea Marekani.
Sema ni story complicated sana kuielewa.
Drug cartels how comes is related to terrorism!?
Hizi propaganda za kuhusisha Iran,Urusi na Qatar ziondoeni tulishazipinga humu na ushahidi kwa nyuzi nyingi tu.
Kama haujui hao drug cartels wa Mexico hupokea silaha kutoka USA na silaha nyingi wanazotumia ni US made and Israeli made.
Ushahidi ulitokea katika vurugu za Sinaloa ambazo nusu zisababishe kombe ka dunia lisichezeke Mexico msimu huu.