Sasa ni zamu ya cuba! Step by step wafadhili ugaidi wote duniani wanaondolewa

Ni kama Iran alivyokuwa ana finance magaidi ila haionekani wazi kuwa anafanya hivyo. I think unachukulia mambo kirahisi sana.
Kule juu tulikuuliza taja makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Cuba hujajibu.
Iran hakuna kundi la kigaidi inafadhili,kama unazungumzia Houthi,hizbollah na Hamas basi tambua ni MAREKANI na Israel peke yake ndio wanawatambua kama magaidi. Ila per international community hawawatambui kama magaidi.
-Houthi ni chama cha siasa kilichoanza kuitwa Ansarullah ambacho raia 95% wa Yemeni wanakiunga mkono na wao ndio waliwaunga mkono kumpindua Mansour ambaye aliwekwa na Marekani na Saudi Arabia kimabavu.
-Hizbollah ni political organization ambayo ndio muhimili wa ulinzi Lebanon.

-Hamas ni political organization inayoongoza Gaza na si ajabu iliundwa na MOSSAD 2004 kuivunja nguvu PLO isitawale Gaza.

KIJANA HUNA UNALOJUA mweupe kichwani unavyozidi kuropoka unajidhalilisha aisee.
 
Iran kafinance gaidi yupi? Israel mbona ina finance ISIS, HTS, YPG, SDF, PKK na RSF na hamsemi inafadhili ugaidi? Acheni unafiki.
 
Kule juu tulikuuliza taja makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Cuba hujajibu.
Iran hakuna kundi la kigaidi inafadhili,kama unazungumzia Houthi,hizbollah na Hamas basi tambua ni MAREKANI na Israel peke yake ndio wanawatambua kama magaidi. Ila per international community hawawatambui kama magaidi.
-Houthi ni chama cha siasa kilichoanza kuitwa Ansarullah ambacho raia 95% wa Yemeni wanakiunga mkono na wao ndio waliwaunga mkono kumpindua Mansour ambaye aliwekwa na Marekani na Saudi Arabia kimabavu.
-Hizbollah ni political organization ambayo ndio muhimili wa ulinzi Lebanon.

-Hamas ni political organization inayoongoza Gaza na si ajabu iliundwa na MOSSAD 2004 kuivunja nguvu PLO isitawale Gaza.

KIJANA HUNA UNALOJUA mweupe kichwani unavyozidi kuropoka unajidhalilisha aisee.
Huyu kalishwa propaganda za kitoto sana. Anasahau Israel inasupport RSF ya Sudan, PKK ya Turkey, YPG/YPJ za Iraq, SDF, HTS, ISIS huko Syria. Ila hawaitwi wafadhili wa ugaidi.
 
Waachane na Cuba ilishajifia yenyewe Tunaomba watuondolee hawa dhalimu wakoloni weusi mboga mboga
 
Eti terrorist maana yake hofu PUMBAF,terrorism maana yake kusambaza hofu kwaajili fulani.Yani ufananishe wauza madawa ya kulevya na magaidi!??
Aiseee UPUMBAVU NI MZIGOO!
Nikupe tu fundisho la mwisho terrorists they do spread terror for THREE MAIN PURPOSES, SIASA,DINI NA MATAKWA BINAFSI. Gaidi huwa anasambaza hofu kwasababu hizo tatu. Gaidi huwa ana specific reasons za kusambaza hofu ili matakwa yake yatimie na ni yanacheza humo tu ya kidini,kisiasa ama matakwa binafsi.
Muuza madawa yeye ni muhalifu ambaye anafanya biashara haramu na silaha ni kwaajili ya kujilinda dhidi ya wanaowapinga hususan vyombo vya usalama. Motives za ugaidi haziendani na drug cartels.
Aya tutajie kundi lipi la kigaidi Cuba analifadhili? Au reference yako ndio Marco Rubio?
Marekani hiyo hiyo kundi la elchapo lilipofanya fujo Sinaloa ili kumuokoa mtoto wa elchapo silaha zilizokamatwa ZOOTEE NI AMERICAN MADE NA ISRAELI MADE na ushahidi ukatolewa. We jamaa una umri gani aisee!?
I do doubt you age.
Una umri gani kwanza ? Maana nanusa hormones za bwana mdogo ambaye hata hajajua kutomba vizuri?

Umri wangu nina uhakika nikikutajia utazidi kukupa cha kuongea and that's where the problem is,u talk too much but lack focus.

Anyways,we are done here. Mtoto mdogo unifundishe kuhusu terrorist mimi. *** you. Mimi nimemsoma Pablo Escobar akiwa hai anatikisa ulimwengu leo uje kunifundisha kuhusu cartels.

Wewe unatazama cartels YouTube na series uje kubishana na mimi. Hebu kajifunze kwanza kutomba utoe wenge uje hapa ukiwa hauna jasho la ubikra, hormones zimebalance na at least uwe haunukii lactogen ndio tuongee untill then, FAKALEHIA.

😏😏😏😏
 
Kule juu tulikuuliza taja makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Cuba hujajibu.
Iran hakuna kundi la kigaidi inafadhili,kama unazungumzia Houthi,hizbollah na Hamas basi tambua ni MAREKANI na Israel peke yake ndio wanawatambua kama magaidi. Ila per international community hawawatambui kama magaidi.
-Houthi ni chama cha siasa kilichoanza kuitwa Ansarullah ambacho raia 95% wa Yemeni wanakiunga mkono na wao ndio waliwaunga mkono kumpindua Mansour ambaye aliwekwa na Marekani na Saudi Arabia kimabavu.
-Hizbollah ni political organization ambayo ndio muhimili wa ulinzi Lebanon.

-Hamas ni political organization inayoongoza Gaza na si ajabu iliundwa na MOSSAD 2004 kuivunja nguvu PLO isitawale Gaza.

KIJANA HUNA UNALOJUA mweupe kichwani unavyozidi kuropoka unajidhalilisha aisee.
Maelezo ni marefu naona uvivu kuandika maana sinaga muda wa kufafanua topic za siasa sana. Mimi eneo ambalo nina interest nalo sana na naweza kuandikia kirefu ni maswala ya mahusiano ya mapenzi,jinsia na familia huko huwa nafunguka sana.

Humu kwenye siasa sio sana hata kama jambo nalijua sana. Hii kitu ya Cuba kufinance terrorist ndani ya Marekani nimeifuatilia kwenye Podcast za jamaa wa Marekani aliielezea vema sana.

Ameongelea sana hadi issue ya Obama kuwapatia pesa Iran ambazo walisemea kuwa ni maswala ya kimaendeleo but deep info ni Obama kuihujumu USA.

Kwa kifupi,China na Russia wanacheza Proxy coverts mission za kumaliza mataifa ya Western (USA,UK, Sweeden) their partner in this ni Cuba, Iran, to mention a few.

Umejiuliza what's behind extreme progressive agenda huko Western countries? Umefuatilia kinachoendelea UK mfalme wa UK anavyoonekana kusilimisha Uingereza?

Unajua kuna Islamization agenda huko ulaya na US?

Unajua kuna miji kam Texas na New York inahujumiwa na kuletewa mabadiliko ya sheria za kiraia?

Kuna mambo mengi ambayo kuyaelezea napata shida sababu sio eneo ambao nina mzuka nalo ila nina data na link zipo nyingi tatizo sina energy na haya maswala ya siasa hayanipi interest sana kuyaongelea. But kama utakuja vizuri pengine naweza kujaribu ila the way unakuja kama unajua kila kitu even the latest info then unanipa ile feeling ya Simba kubwekewa na kachiwawa ,hadi uvivu kugombana nako maana kukauwa ni sekunde tu.
 
Una umri gani kwanza ? Maana nanusa hormones za bwana mdogo ambaye hata hajajua kutomba vizuri?

Umri wangu nina uhakika nikikutajia utazidi kukupa cha kuongea and that's where the problem is,u talk too much but lack focus.

Anyways,we are done here. Mtoto mdogo unifundishe kuhusu terrorist mimi. *** you. Mimi nimemsoma Pablo Escobar akiwa hai anatikisa ulimwengu leo uje kunifundisha kuhusu cartels.

Wewe unatazama cartels YouTube na series uje kubishana na mimi. Hebu kajifunze kwanza kutomba utoe wenge uje hapa ukiwa hauna jasho la ubikra, hormones zimebalance na at least uwe haunukii lactogen ndio tuongee untill then, FAKALEHIA.

😏😏😏😏
Hata sikuhangaika kusoma utumbo wako maana huna unachojua. Pia personal attacks zinajulisha namna gani ulivyo mweupe kichwani. Ngoja niku block tu usinipotezee muda.
 
Ni kama Iran alivyokuwa ana finance magaidi ila haionekani wazi kuwa anafanya hivyo. I think unachukulia mambo kirahisi sana.
Ugaidi ni nini? Mfano Israel ina support PKK na ISIS je nao wana finance ugaidi? Au ugaidi ni Iran pekee
 
Back
Top Bottom