Huo ndio ugaidi!?Cartels za mexico zinazouza madawa zinapoke funding kutoka Urusi na Iran na Qatar na cuba inahusishwa katika kutengeneza network hii ya uhalifu kuelekea Marekani.
Sema ni story complicated sana kuielewa.
Huo ndio ugaidi!??
Drug cartels how comes is related to terrorism!??
Hizi propaganda za kuhusisha Iran,Urusi na Qatar ziondoeni tulishazipinga humu na ushahidi kwa nyuzi nyingi tu.
Kama haujui hao drug cartels wa Mexico hupokea silaha kutoka USA na silaha nyingi wanazotumia ni US made and Israeli made. Ushahidi ulitokea katika vurugu za Sinaloa ambazo nusu zisababishe kombe ka dunia lisichezeke Mexico msimu huu.
CIA wa vikindu
Uko serious we KIJANA!? Marco Rubio ambaye ni katibu mkuu wa serikali ya Marekani ndio kasema hivyo wewe uamini!??
Kijana rudi shule. Drug cartels ni higher level criminals sio terrorists.Dah kumanina😂😂😂😂 kwahiyo kwako gaidi ni mtu wa aina gani?
Au ninyi ndio wale mliomezeshwa matango pori kuwa magaidi lazima awe muarabu wa kislaam ?😂😂
Unajua hata maana ya neno gaidi? Gaidi ni mtu anayetumia hofu na vitisho kushinikiza jambo lake.
Cartels wanatumia hofu na vitisho kwa kutumia silaha kali,kuua watu wanaopingana nao kikatili ili kushinikiza biashara yao ya madawa ya kulevya.
Sasa wewe sijui unaelewa nini ukisikia neno ugaidi. Use your brain.
Kuna mtu unakuta anajitutumua kwamba ana akili na ni mzalendo wa kiafrika, cha ajabu utakuta anaamini kila jambo linalosemwa na serikali na Marekani na bado anajiona yeye ni smart.Uko serious we KIJANA!? Marco Rubio ambaye ni katibu mkuu wa serikali ya Marekani ndio kasema hivyo wewe uamini!??
Nina maswali mawili kwako.
1.Nitajie kundi moja tu la ugaidi Cuba?
2.Marekani ilisema kuwa Iraq ina silaha za maangamizi 2003 je zilioneshwa hizo silaha!??
Cuba haiwezi kupigana na USA hata siku 3.Trump yupo kujiwinda na Uchaguzi wa Nov !!
sasa kaona Iranian imemchafua sana!!!
so anajaribu Cuba lkn pale anakwama vibaya mno.!!
CUBA sio ya kuichezea kabisa.
CUBA wamefadhili ugaidi gani? Unaweza taja hata mfano mmoja.Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.
Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.
Ahsante Trump
View attachment 3592422
Mbona US ndio kinara wa kufadhili ugaidi. Hata Iran tu hapo Trump alitangaza kufadhili waasi wa kurdistan kuangusha utawala wa Tehran. Pia wanafadhili magaidi wa Yemen, ISIS, HTS, SDF, YPG, YPJ embu niambie nchi gani inafadhili magaidi wengi tena kwa uwazi kuliko USA?Tunataka dunia iwe shwari, US fagia magaidi yote duniani
Propaganda tu, Mexican cartels na Cuba wapi na wapi.Cartels za mexico zinazouza madawa zinapoke funding kutoka Urusi na Iran na Qatar na cuba inahusishwa katika kutengeneza network hii ya uhalifu kuelekea Marekani.
Sema ni story complicated sana kuielewa.
Makanisani mnafungishana ndoa za machoko tangu 2000s,juzi papa akaruhusuZanzibar na Mombasa kwenye dini ya mnyezi mungu yamejaa machoko sijui kwanini mnapenda kufilwa huko hadi mnatuletea story zenu hapa jf.
Sijawahi kuona Rais chizi kama TrumpMeli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.
Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.
Ahsante Trump
View attachment 3592422
Kuna watu wanashangaza sana. Unamwambia mtu leta ushahidi wa Cuba kushiriki ugaidi anakuletea statement za Marco Rubio.Kuna mtu unakuta anajitutumua kwamba ana akili na ni mzalendo wa kiafrika, cha ajabu utakuta anaamini kila jambo linalosemwa na serikali na Marekani na bado anajiona yeye ni smart.
Ukisikia mahaba ndio hayo.Kuna watu wanashangaza sana. Unamwambia mtu leta ushahidi wa Cuba kushiriki ugaidi anakuletea statement za Marco Rubio.
Usinichoshe. Wewe ndio uende shule maana kama umeshindwa kuelewa maana na matumizi sahihi ya neno terrorist halafu unakuja nisumbua hapa,who is uneducated hapa?Kijana rudi shule. Drug cartels ni higher level criminals sio terrorists.
Kheri mzee wako asingeuza hizo mbuzi na akakupeleka shule.
Ni kama Iran alivyokuwa ana finance magaidi ila haionekani wazi kuwa anafanya hivyo. I think unachukulia mambo kirahisi sana.Propaganda tu, Mexican cartels na Cuba wapi na wapi.
Eti terrorist maana yake hofu PUMBAF,terrorism maana yake kusambaza hofu kwaajili fulani.Yani ufananishe wauza madawa ya kulevya na magaidi!??Usinichoshe. Wewe ndio uende shule maana kama umeshindwa kuelewa maana na matumizi sahihi ya neno terrorist halafu unakuja nisumbua hapa,who is uneducated hapa?
1. Terrorist ina maana hofu,so unakataa cartels huwa hawatumii vitisho kama mauwaji kujiimarisha.
2. Terrorist wanatumia silaha kama mabomu na bunduki. Haujui kuwa Cartels wana vikosi vya utekelezaji wa uhalifu?
3. Terrorist ni wahalifu,unataka kusema cartels wanafanya matendo mema?
Nenda hapo Google kaandike tu "Are cartels considered terrorist?" Halafu soma majibu. Hebu acha kuwa mjinga basi.
Toa hoja nyingine; hakuna gaidi mwingine hapa duniani ambaye ameua more innocent people than Israel and the U.S.Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.
Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.
Ahsante Trump
View attachment 3592422