Kule juu tulikuuliza taja makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Cuba hujajibu.Ni kama Iran alivyokuwa ana finance magaidi ila haionekani wazi kuwa anafanya hivyo. I think unachukulia mambo kirahisi sana.
Iran kafinance gaidi yupi? Israel mbona ina finance ISIS, HTS, YPG, SDF, PKK na RSF na hamsemi inafadhili ugaidi? Acheni unafiki.Ni kama Iran alivyokuwa ana finance magaidi ila haionekani wazi kuwa anafanya hivyo. I think unachukulia mambo kirahisi sana.
Huyu kalishwa propaganda za kitoto sana. Anasahau Israel inasupport RSF ya Sudan, PKK ya Turkey, YPG/YPJ za Iraq, SDF, HTS, ISIS huko Syria. Ila hawaitwi wafadhili wa ugaidi.Kule juu tulikuuliza taja makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Cuba hujajibu.
Iran hakuna kundi la kigaidi inafadhili,kama unazungumzia Houthi,hizbollah na Hamas basi tambua ni MAREKANI na Israel peke yake ndio wanawatambua kama magaidi. Ila per international community hawawatambui kama magaidi.
-Houthi ni chama cha siasa kilichoanza kuitwa Ansarullah ambacho raia 95% wa Yemeni wanakiunga mkono na wao ndio waliwaunga mkono kumpindua Mansour ambaye aliwekwa na Marekani na Saudi Arabia kimabavu.
-Hizbollah ni political organization ambayo ndio muhimili wa ulinzi Lebanon.
-Hamas ni political organization inayoongoza Gaza na si ajabu iliundwa na MOSSAD 2004 kuivunja nguvu PLO isitawale Gaza.
KIJANA HUNA UNALOJUA mweupe kichwani unavyozidi kuropoka unajidhalilisha aisee.
Una umri gani kwanza ? Maana nanusa hormones za bwana mdogo ambaye hata hajajua kutomba vizuri?Eti terrorist maana yake hofu PUMBAF,terrorism maana yake kusambaza hofu kwaajili fulani.Yani ufananishe wauza madawa ya kulevya na magaidi!??
Aiseee UPUMBAVU NI MZIGOO!
Nikupe tu fundisho la mwisho terrorists they do spread terror for THREE MAIN PURPOSES, SIASA,DINI NA MATAKWA BINAFSI. Gaidi huwa anasambaza hofu kwasababu hizo tatu. Gaidi huwa ana specific reasons za kusambaza hofu ili matakwa yake yatimie na ni yanacheza humo tu ya kidini,kisiasa ama matakwa binafsi.
Muuza madawa yeye ni muhalifu ambaye anafanya biashara haramu na silaha ni kwaajili ya kujilinda dhidi ya wanaowapinga hususan vyombo vya usalama. Motives za ugaidi haziendani na drug cartels.
Aya tutajie kundi lipi la kigaidi Cuba analifadhili? Au reference yako ndio Marco Rubio?
Marekani hiyo hiyo kundi la elchapo lilipofanya fujo Sinaloa ili kumuokoa mtoto wa elchapo silaha zilizokamatwa ZOOTEE NI AMERICAN MADE NA ISRAELI MADE na ushahidi ukatolewa. We jamaa una umri gani aisee!?
I do doubt you age.
Maelezo ni marefu naona uvivu kuandika maana sinaga muda wa kufafanua topic za siasa sana. Mimi eneo ambalo nina interest nalo sana na naweza kuandikia kirefu ni maswala ya mahusiano ya mapenzi,jinsia na familia huko huwa nafunguka sana.Kule juu tulikuuliza taja makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Cuba hujajibu.
Iran hakuna kundi la kigaidi inafadhili,kama unazungumzia Houthi,hizbollah na Hamas basi tambua ni MAREKANI na Israel peke yake ndio wanawatambua kama magaidi. Ila per international community hawawatambui kama magaidi.
-Houthi ni chama cha siasa kilichoanza kuitwa Ansarullah ambacho raia 95% wa Yemeni wanakiunga mkono na wao ndio waliwaunga mkono kumpindua Mansour ambaye aliwekwa na Marekani na Saudi Arabia kimabavu.
-Hizbollah ni political organization ambayo ndio muhimili wa ulinzi Lebanon.
-Hamas ni political organization inayoongoza Gaza na si ajabu iliundwa na MOSSAD 2004 kuivunja nguvu PLO isitawale Gaza.
KIJANA HUNA UNALOJUA mweupe kichwani unavyozidi kuropoka unajidhalilisha aisee.
US Baba wa mataifa yote ulimwenguniMeli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.
Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.
Ahsante Trump
View attachment 3592422
Hata sikuhangaika kusoma utumbo wako maana huna unachojua. Pia personal attacks zinajulisha namna gani ulivyo mweupe kichwani. Ngoja niku block tu usinipotezee muda.Una umri gani kwanza ? Maana nanusa hormones za bwana mdogo ambaye hata hajajua kutomba vizuri?
Umri wangu nina uhakika nikikutajia utazidi kukupa cha kuongea and that's where the problem is,u talk too much but lack focus.
Anyways,we are done here. Mtoto mdogo unifundishe kuhusu terrorist mimi. *** you. Mimi nimemsoma Pablo Escobar akiwa hai anatikisa ulimwengu leo uje kunifundisha kuhusu cartels.
Wewe unatazama cartels YouTube na series uje kubishana na mimi. Hebu kajifunze kwanza kutomba utoe wenge uje hapa ukiwa hauna jasho la ubikra, hormones zimebalance na at least uwe haunukii lactogen ndio tuongee untill then, FAKALEHIA.
ππππ
Kameishiwa hoja kameanza kutukana huko juu. Ukimuuliza maswali hajibu. Ni wa kumpuuza tu.Iran kafinance gaidi yupi? Israel mbona ina finance ISIS, HTS, YPG, SDF, PKK na RSF na hamsemi inafadhili ugaidi? Acheni unafiki.
Ugaidi ni nini? Mfano Israel ina support PKK na ISIS je nao wana finance ugaidi? Au ugaidi ni Iran pekeeNi kama Iran alivyokuwa ana finance magaidi ila haionekani wazi kuwa anafanya hivyo. I think unachukulia mambo kirahisi sana.