cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wanaenda kuwekwa sawa kuendelea kuandaa content zinazowatoa reli wa TZ na kupigwa biti kwa wanaoenda kinyume na serikali ya kimama
Haswaaaa!!!
Wanaenda kuwekwa sawa kuendelea kuandaa content zinazowatoa reli wa TZ na kupigwa biti kwa wanaoenda kinyume na serikali ya kimama
AiseeNi swala la muda.. Kila mtu atatoa mlio.. Walijua Machawa wapo sallama. Muuaji hana rafiki.
Tuliwaasa, achaneni na CCM kwani washapoteza uelekeo. Akili za wanaccm sasa hivi ni kuua, kuteka, kubambikiza kesi, Vitisho, unyanyasaji na ufisadi.
Watu walijua hii kitu inawahusu CHADEMA, sasa kila mtu ataimba wimbo wa mabadiliko.
Tanzania hakuna amani kama wewe si fisadi. Wanaotetea mfumo wa CCM ni wanaonufaika na mfumo. Hakuna mlalahoi anaiunga mkono CCM bila vitisho.
View attachment 3661478
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Patrobas Katambi ametangaza wito wa kikao maalum na baadhi ya wasanii maalum waliochaguliwa na wasanii hao watatakiwa waripoti Central Police kesho saa 4:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wito huo unawahusu Gift Stanford 'Gigy Money', mwanamitandao Dotto Kito, Burton Mwemba 'Mwijaku', Juma Lokole, Maimartha Jesse, Anko T pamoja na wengine.
Waliotajwa wametakiwa kufika kituoni hapo saa mbili asubuhi.
Waziri Katambi ameeleza kuwa baadhi ya ajenda zitakazojadiliwa ni za kiserikali na zitaendelea kujulikana kesho, Septemba 2, 2026.
Wapimwe exhaust tujue kama imetoboka.Noel, Lokole, hawa nawahofia sana, sijui ni kwanini. Ila au basi hope hawatakutwa na baya lolote.
Unawatamania wanachokwenda kufanywa na timu mafwele?Noel, Lokole, hawa nawahofia sana, sijui ni kwanini. Ila au basi hope hawatakutwa na baya lolote.
Lile shoga la Dom lisikose, linalojiita mungu katika ajenda hizo anawafaa sana kuhamisha mijadala...
Hivi yuko wapi siku hizi?Sijui Musiba anaishi maisha gani sasa hivi
Wapimwe exhaust tujue kama imetoboka.
Unawatamania wanachokwenda kufanywa na timu mafwele?
Timu mafwele ni watu wa hovyo sana.Yaan niwatamanie kwa tendo hilo tena kwa watu wasio vutiwa nao?
Aaah wapiiiii.
Timu mafwele ni watu wa hovyo sana.
Hakuna namna ya kuingilia kati ili timu mafwele isiwalawiti?😂😂😂 hawacheki ni rinda, wanatatua tuu. 😂😂😂😂
Ni kama TAL alivyopimwa mkojo...Check and balance.Kwa minajiri ipi? Ni udhalilishaji huu,
Hata sijui nduguHivi yuko wapi siku hizi?