Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawahamisha halafu wanawapeleka Urusi kwa nguvu, huo ni uhalifu wa kivita, Putin ameamua kuwa gaidi, atashughulikiwa ipasavyo..Wapi anakimbia? Yaani kuhamisha raia ili wasipatwe na madhara ya vita ni kukimbia, uelewa wako upo sawa uje uniambie wakiikomboa hio miji
Babu Putin kachanganyikiwa,Yani anaintroduce martial law kwenye maeneo ambayo hajayakamata,hiki ni kichekesho kingine kama kile cha referendumsWanawahamisha halafu wanawapeleka Urusi kwa nguvu, huo ni uhalifu wa kivita, Putin ameamua kuwa gaidi, atashughulikiwa ipasavyo..
Yaani anaiba wananchi wa nchi nyingine, huyu jamaa ni hopeless.
Jamaa ameamua kuwa kituko!Babu Putin kachanganyikiwa,Yani anaintroduce martial law kwenye maeneo ambayo hajayakamata,hiki ni kichekesho kingine kama kile cha referendums
Hukosagi vijisababuNdugu ngoja tupeane siku tano tu utasikia ya kusikia huko.. urusi wanawajali watu wao wanataka wakae pembeni mahari salama kabla ya dhahama ya kamanda amagedoni....
Sasa wewe unamkosoa wakati na wewe unarudia yale yale.Hilo ni swali au ni sentensi ya kawaida?kaa kwa kutulia andika vizuri, unakimbilia wapi
Full blown [emoji1782]Jamaa ameamua kuwa kituko!
Pro Russia ni kama waliokuwa wafuasi wa Kibwetere kule Uganda.Yani hata kama jambo lipo wazi kabisa utawaona wanaruka ruka na vijisababu vya uwongo na kweli ili mradi tu wakanushe kitu kilicho wazi.Huyo huyo anaetegemea ndege za Iran atampiga nani huyo? Wameshaikimbia miji waliyodai wameichukua, hovyo kabisa!
Porojo za gengeni kwa Mama Kimbo hizikuna watu hawaelewi hiv vitu, stoke ya putin ni dam tupu NATO wamestukia mchezo[emoji23]
Safari hii imekula kwao..Pro Russia ni kama waliokuwa wafuasi wa Kibwetere kule Uganda.Yani hata kama jambo lipo wazi kabisa utawaona wanaruka ruka na vijisababu vya uwongo na kweli ili mradi tu wakanushe kitu kilicho wazi.
NATO mbona ameshaingia mda sana unataka NATO amtangazie Urusi kwamba Niko Ukraine we jamaa ni mjingaKwasababu tu hujui, NATO wanachanganyikiwa kwanini hatumii arsenal yake anaamua kununua, usidhani hana akili.
Stock is full anasubiri NATO waingie ulingoni ndio ujue mziki wake.
Ndio maana toka hii OPS inanze westerners wanalalamika Russia anatumia silaha za zamani.
Can you imagined ile meli ya Russia ni ya miaka ya 1950's 😅😅😅
Mpya zote zinatumika mara chache na kwa kazi maalum....ila mapambano ya kila siku anatumia za zamani tu.........angesema atumie mpya na aweke mziki wote kavita kangeisha mapema na tungekosa ladha sie washabiki
Ushabiki kwenye roho za wafu👎🏿Mpya zote zinatumika mara chache na kwa kazi maalum....ila mapambano ya kila siku anatumia za zamani tu.........angesema atumie mpya na aweke mziki wote kavita kangeisha mapema na tungekosa ladha sie washabiki wake
Hamuelewi wanaotolewa hapo ni wenyejiHivi wewe umepokonya ardhi ya nchi nyingine halafu unapeleka raia wako! Ubabe wa kifala sana huu.
Diaper yako imekaa upande,simama uirekebishe kidogo.Huyo huyo anaetegemea ndege za Iran atampiga nani huyo? Wameshaikimbia miji waliyodai wameichukua, hovyo kabisa!
Nimesoma nikaishia hapo "west wanalalamika russia kutumia silaha za zamani" nimechek sana.Kwasababu tu hujui, NATO wanachanganyikiwa kwanini hatumii arsenal yake anaamua kununua, usidhani hana akili.
Stock is full anasubiri NATO waingie ulingoni ndio ujue mziki wake.
Ndio maana toka hii OPS inanze westerners wanalalamika Russia anatumia silaha za zamani.
Can you imagined ile meli ya Russia ni ya miaka ya 1950's [emoji28][emoji28][emoji28]
Or he has. Look up records zako vizuriKeep dreaming, this guy has never lost a war