Sasa ni zamu ya Vijana kushika nafasi za kisiasa

Sasa ni zamu ya Vijana kushika nafasi za kisiasa

Wauzaji wa Container Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
2,224
Reaction score
4,092
Kwenye mada yangu

Baada yakufanya tathmini nimegundua, safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%.

Hii imetokana na ukweli kwamba Tanzania watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu.

Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi ni wakati wa vijana .

Hii hata mkuu kama yumo kwenye wazee ajiandae kupigwa chini.
 
Sishauri kuwapa vijana uongozi wa kisiasa kwa asilimia zote hizo, hilo litakuwa kosa kubwa sana.
 
Vijana wengi hupenda mabadiliko na wengi wako Chadema na wana mpango maalum wa kuibadili Nchi kwa mazuri

Safari hii tusiharibu kura kwa kuwarudisha wagonga meza wa wasinziaji

Tundu Lissu 2020
 
Kwenye mada yangu

Baada yakufanya tathmini nimegundua .... safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%

Hii imetokana na ukweli kwamba Tz watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu.

Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi niwakati wavijana .

Hii hata mkuu kama yumo kwenye wazee ajiandae kupigwa chini.
[/QUOT

Huu ni mtazamo wa ajabu kabisa kuamini eti vijana pekee yao ndo Wana mawazo mazuri

Kama wazee hawafai ni nani aliyekulea wewe mpaka ukafika hapo ulipo nonsense
 
Binafsi natangaza mapema nataka jimbo la Ubungo seriously.. [emoji23] [emoji23]! Natapata taabu sana kila nikifikiria ubunge wa kupitia vyamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mada yangu

Baada yakufanya tathmini nimegundua .... safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%

Hii imetokana na ukweli kwamba Tz watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu.

Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi niwakati wavijana .

Hii hata mkuu kama yumo kwenye wazee ajiandae kupigwa chini.
Asante tumikusikia, sisi wazee ngoja tujikalie pembeni tuwapishe vijana.
P
 
Mkuu 90% vijana then 10% wazee nadhani nafasi yako bado hipo kwenye 10%.
Duh...!, asante lakini.
Siasa za vijana ni siasa za tantalila, siasa za sisi wazee, ni inaongea pesa.
Vijana are struggling making money
Wazee have made it long ago, now they are just sitting using money to work for them.
Instead of making money, use money work for you.
P
 
Kwenye mada yangu

Baada yakufanya tathmini nimegundua .... safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%

Hii imetokana na ukweli kwamba Tz watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu.

Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi niwakati wavijana .

Hii hata mkuu kama yumo kwenye wazee ajiandae kupigwa chini.
Vijana wenyewe mihemuko mingiii ..mara demu alalamike demu wake anatembea na mafuta ya mgando kwenye begi
 
Back
Top Bottom