Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Kwenye mada yangu
Baada yakufanya tathmini nimegundua .... safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%
Hii imetokana na ukweli kwamba Tz watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu.
Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi niwakati wavijana .
Hii hata mkuu kama yumo kwenye wazee ajiandae kupigwa chini.
[/QUOT
Huu ni mtazamo wa ajabu kabisa kuamini eti vijana pekee yao ndo Wana mawazo mazuri
Kama wazee hawafai ni nani aliyekulea wewe mpaka ukafika hapo ulipo nonsense
Asante tumikusikia, sisi wazee ngoja tujikalie pembeni tuwapishe vijana.Kwenye mada yangu
Baada yakufanya tathmini nimegundua .... safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%
Hii imetokana na ukweli kwamba Tz watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu.
Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi niwakati wavijana .
Hii hata mkuu kama yumo kwenye wazee ajiandae kupigwa chini.
Binafsi natangaza mapema nataka jimbo la Ubungo seriously.. [emoji23] [emoji23]! Natapata taabu sana kila nikifikiria ubunge wa kupitia vyamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante tumikusikia, sisi wazee ngoja tujikalie pembeni tuwapishe vijana.
P
Duh...!, asante lakini.Mkuu 90% vijana then 10% wazee nadhani nafasi yako bado hipo kwenye 10%.
Vijana wenyewe mihemuko mingiii ..mara demu alalamike demu wake anatembea na mafuta ya mgando kwenye begiKwenye mada yangu