PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia:
 
Tupo nyuma yao, tatizo lipo sehemu mojawapo ambayo ndiyo kubwa zaidi ni baadhi ya viongozi wa ndani ya chama wenye uroho wa kupata uongozi kuona kama kwamba hii njia ni kama itawachelewesha kupata madaraka kama vile ya udiwani na ubunge kwa ujumla wanataka madaraka ya kutuongoza cc wananchi wao ili mkono upate kwenda kinywani, hivyo kuna uwezekano wa kugeukana kwa njia tofauti. Ingawa ni bora wachelewe lakini watafika.
 
Kabisa, mkuu, viongozi wabinafsi na wasaliti wapo ,wakibaonika hao ni kula vichwa
 
Tupo nyuma yao, tatizo lipo sehemu mojawapo ambayo ndiyo kubwa zaidi ni baadhi ya viongozi wa ndani ya chama wenye uroho wa kupata uongozi kuona kama kwamba hii njia ni kama itawachelewesha kupata madaraka kama vile ya udiwani na ubunge kwa ujumla wanataka madaraka ya kutuongoza cc wananchi wao ili mkono upate kwenda kinywani, hivyo kuna uwezekano wa kugeukana kwa njia tofauti. Ingawa ni bora wachelewe lakini watafika.
Mbowe alichelewesha haakari
 
Back
Top Bottom