PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jamani chadema chini ya mh Tundu Lisu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Hiki ni kikundi cha wapigaji kama vikundi vingine. Chadema chini ya Lissu imepoteza mvuto kabisa.
 
Jamani chadema chini ya mh Tundu Lisu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Hongera sana japo ulichelewa
 
Ok, tuasume hivyo mkuu, tujadili kichwa cha hapo juu, tuachane na Mungu
Hakuna ku asume mwanzoni wewe ndio uli assume kuwa Mungu yupo mimi nikakurudisha kwenye tafakari ya hakika.
 
LISU Yuko sahihi sana na CHADEMA Yani safari hii hakuna kurudia mnyororo usiokatika wa makosa ya miaka iliyopita.
1. Kuteka opponents.
2. Kuuwa opponents.
3. Kubambikia kesi opponents.
4. Kuharibu mali za opponents.
5.Kuwaibia kura opponents.

Haya yote kisa siasa? Hapana kuliko haya yajirudie Tena Bora kusitisha Hilo zoezi ovu linaloleta chuki kwenye taifa mpaka tuweke misingi itakayolindwa na Sheria.
 
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Marekani Kuna Demokrasia Wapinzani Wana Raha sana 🤣 🤣 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DHgDLXBK5np/?igsh=MWk3c2FxOHU0bGQ2MQ==
 
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kwl nyumbu ni nyumbu tu hawezi kuelimika. Sijui Oktoba mtaficha sura zenu wapi. Ni mazuzu mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hakuna reform yoyote uchaguzi utafanyika na hakuna kima atanyanyua pua.
 
Tupo nyuma yao, tatizo lipo sehemu mojawapo ambayo ndiyo kubwa zaidi ni baadhi ya viongozi wa ndani ya chama wenye uroho wa kupata uongozi kuona kama kwamba hii njia ni kama itawachelewesha kupata madaraka kama vile ya udiwani na ubunge kwa ujumla wanataka madaraka ya kutuongoza cc wananchi wao ili mkono upate kwenda kinywani, hivyo kuna uwezekano wa kugeukana kwa njia tofauti. Ingawa ni bora wachelewe lakini watafika.
Nyumbu ktk ubora wenu
 
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Gentleman,
lakini wana Dar es salaamu wamepuuza kabisa jambo hilo la kitapeli,

unadhani ni kwanini wanajitokeza kwa wingi kiasi hiki kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hali ya kua wote wanavyo vitambulisho vya NIDA pia? :NoGodNo:
 
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"

Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kwa akili na hoja hizo kiukweli unastahili kwenda VETA!
 
Back
Top Bottom