Uyu mzee wasira si anafikiri ccm enzi ya chama kimoja , ndo maana mda wote ni kusinzia ati anatafakari , hakuna sababu ya uchaguzi wa kwenda ndugu zetu umizwa ,tekwa uwawa , ccm hawataki wafute vyama vya upinzani period, ogopa sana nyakati ila ccm ujifanya watu wa mazalau.
Mchengerwa ndo amefikisha aya mambo apa tulipo, wenda isingekua uchafuzi wa uchaguzi S/ za mitaa wtz tungekua na imani kidogo , na chadema isingekua na hoja kama hii.
Sasa mchengelwa akatumia kifua kipana kweli kweli.
Ikumbukwe ndani ya serikari wengi wanaunga hoja hii, sema kwa kuwa machawa hawajui upana wa Taifa hili katika mambo nyeti ya Taifa ,wanakuja na maneno ya uchawa ,na mbaya wengine hata katiba ya ccm ,history ya ccm hawajui , yametoka chuo kupitia uchawa wakapenyezwa kwenye nafasi ambazo kimsingi hawana uwezo nazo.
Safari hii , nitakichangia ichi chama chadema kuanzia sh mia na kuendelea mbele kadri Mungu atakavyo niwezesha