CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo vya habari.
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"
Binafsi naona mbele kuna nuru kubwa sana ya Mabadiliko ya uchaguzi mwaka huu, na BAdo wanamipango Mingi sana, jamani tuwaunge mkono chadema hasa" tone! tone! Campaign" I'li wapate nguvu ya kutoa elimu zaidi juu ya No reform No election.
Mungu ibariki chadema
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.