secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Likoje mkuu?Ila si kuna jinamizi
kwahiyo gentleman,Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.
Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi.
Katika kutafuta mwarubaini nikaambiwa kuwa ukiwa umelala huku umejikunja unaweza kupigwa kirahisi na adui, na ukiwa umelala kwa kinyooka basi utashinda pambano kirahisi mno.
Kwa kipindi kirefu nikawa napuuzia dhana hii, lakini kitendo cha Mimi kushindwa battle pindi nikiwa ndotoni kikanisukuma kujaribu kile kinachosemwa.
Wakuu, baada ya kuanza kulala kwa kujinyoosha kama mlingoti, nimeanza kuona matokeo chanya kwani Kila nifanyalo ndotoni basi kinakuwa upande wangu.
Yaani sasa nikikutana na jambazi namnyoosha vilivyo, nikiwa na demu namfikisha kileleni bila wasi tofauti na huko nyuma, nikikimbizwa na Simba hanikamati maana nina speed kama kombora la kibalistiki, hata nikiwa nabishana kijiweni basi napangilia hoja hadi ninaitwa profesa.
Dah ni raha tupu yaani!
Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
Pole sana mkuu, hii hali inakera sana. Kabla ya kulala mwombe mungu asikukatishe ndoto nzuri 😂.ila ndoto bana,, kuna kipindi nilikuaga na upwiruu ule wa ovulation sas usiku mmoja nikaota ndoto nipo na mkaka mzuri mnoo kwenye 6×6 mambo yalikua mazuri mpka pale alipotaka kuloweka tu nikashtuka aseee nililaani vibaya mno siwezi kusahau🤦♀️
saivi huwa nasali, niliambiwa ndoto za kudinyana huwa ni za pepo mchafuPole sana mkuu, hii hali inakera sana. Kabla ya kulala mwombe mungu asikukatishe ndoto nzuri 😂.
Si unajua Mimi sipendi kushindwa hadi ndotoni? Sasa hivi nanyooka ili nisiteseke.kwahiyo gentleman,
ulipokua ndotoni wakati umelala kwa kujikunja, yaani hata utoke nduki vipi adui yako lazima akukimbize na kukunyaka right?🤣
Na sasa umepata mbinu ya kuondokana na huo unyonge wa muda mrefu na uliokutesa sana.
Unalala wima kama umesimama vile dah
ndoto bana,
ila wengi walikua hawajui hilo na bilshaka leo wamepata mwangaza wa hayo yote 🐒
huenda huyo mkaka alikua ndo huyu secretarybird,ila ndoto bana,, kuna kipindi nilikuaga na upwiruu ule wa ovulation sas usiku mmoja nikaota ndoto nipo na mkaka mzuri mnoo kwenye 6×6 mambo yalikua mazuri mpka pale alipotaka kuloweka tu nikashtuka aseee nililaani vibaya mno siwezi kusahau🤦♀️
Waliokuambia ndoto za kudinyana ni za mapepo wachafu wanakuonea wivu tu.saivi huwa nasali, niliambiwa ndoto za kudinyana huwa ni za pepo mchafu
umeeleweka mkuu!
mmmh ila mi nilihisi sababu ilikua ule upwiru ndo maan nikawa naota huo upuuzi😄Waliokuambia ndoto za kudinyana ni za mapepo wachafu wanakuonea wivu tu.
kama ni huyu hapana, bora hata hakuloweka 🤣🤣🤣
Huwa nafurahi nionapo mtoto mkali kama wewe amenielewa 😋.umeeleweka mkuu!
Yeah, hakuna pepo mchafu hapo/no bad wind there 😎.mmmh ila mi nilihisi sababu ilikua ule upwiru ndo maan nikawa naota huo upuuzi😄
Yes,Kuna nadharia inasema kulala umenyooka kunaruhusu mtiririko bora wa hewa (oxygen) mwilini ukilinganisha na kulala umejikunja ambapo kifua kinabana mapafu.