Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Angeloweka tu ungejikojolea.ila ndoto bana,, kuna kipindi nilikuaga na upwiruu ule wa ovulation sas usiku mmoja nikaota ndoto nipo na mkaka mzuri mnoo kwenye 6×6 mambo yalikua mazuri mpka pale alipotaka kuloweka tu nikashtuka aseee nililaani vibaya mno siwezi kusahau🤦♀️
Kumbe ndo maana....!Kuna nadharia inasema kulala umenyooka kunaruhusu mtiririko bora wa hewa (oxygen) mwilini ukilinganisha na kulala umejikunja ambapo kifua kinabana mapafu.
yan sijui hata ilikuaje akashindwa kuloweka wakati aliniandaa vizuri kabisa🤦♀️Angeloweka tu ungejikojolea.
Ndoto lazima iwe hivyo.yan sijui hata ilikuaje akashindwa kuloweka wakati aliniandaa vizuri kabisa🤦♀️
kiukweli hii yangu iliniudhi maana nilikua na uhitaji kabisaaNdoto lazima iwe hivyo.
Huwezi kuota ndoto eti ikafika mpaka mwisho kabisa.
Kaka nakubali sanaaNatumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.
Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi.
Katika kutafuta mwarubaini nikaambiwa kuwa ukiwa umelala huku umejikunja unaweza kupigwa kirahisi na adui, na ukiwa umelala kwa kinyooka basi utashinda pambano kirahisi mno.
Kwa kipindi kirefu nikawa napuuzia dhana hii, lakini kitendo cha Mimi kushindwa battle pindi nikiwa ndotoni kikanisukuma kujaribu kile kinachosemwa.
Wakuu, baada ya kuanza kulala kwa kujinyoosha kama mlingoti, nimeanza kuona matokeo chanya kwani Kila nifanyalo ndotoni basi kinakuwa upande wangu.
Yaani sasa nikikutana na jambazi namnyoosha vilivyo, nikiwa na demu namfikisha kileleni bila wasi tofauti na huko nyuma, nikikimbizwa na Simba hanikamati maana nina speed kama kombora la kibalistiki, hata nikiwa nabishana kijiweni basi napangilia hoja hadi ninaitwa profesa.
Dah ni raha tupu yaani!
Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
💪💪👊Kaka nakubali sanaa
🤣🤣🤣🤣🤣 Fanya uchakate ndoto za kuota unagonga ni dalili ya kichupa kujaa before runneth over find the 😺😺😺Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.
Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi.
Katika kutafuta mwarubaini nikaambiwa kuwa ukiwa umelala huku umejikunja unaweza kupigwa kirahisi na adui, na ukiwa umelala kwa kinyooka basi utashinda pambano kirahisi mno.
Kwa kipindi kirefu nikawa napuuzia dhana hii, lakini kitendo cha Mimi kushindwa battle pindi nikiwa ndotoni kikanisukuma kujaribu kile kinachosemwa.
Wakuu, baada ya kuanza kulala kwa kujinyoosha kama mlingoti, nimeanza kuona matokeo chanya kwani Kila nifanyalo ndotoni basi kinakuwa upande wangu.
Yaani sasa nikikutana na jambazi namnyoosha vilivyo, nikiwa na demu namfikisha kileleni bila wasi tofauti na huko nyuma, nikikimbizwa na Simba hanikamati maana nina speed kama kombora la kibalistiki, hata nikiwa nabishana kijiweni basi napangilia hoja hadi ninaitwa profesa.
Dah ni raha tupu yaani!
Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
Uwongo 😀.🤣🤣🤣🤣🤣 Fanya uchakate ndoto za kuota unagonga ni dalili ya kichupa kujaa before runneth over find the 😺😺😺
Nime toka kumshinda 🐍 🐍 🐍 Snake NDOTONI...NILI LALA WIMA/ mnyoofu.
Kaka ukilala umenyooka jini halikushindi. Sasa hivi ndotoni mi natamba tu.Nime toka kumshinda 🐍 🐍 🐍 Snake NDOTONI...NILI LALA WIMA/ mnyoofu.
Sijajua NDOTO MBAYA SANAAAAAA ila nime pambana na JOKA mpaka nimeliua NDOTONI
Vipi sahizi upwiru hauna nikusogezee huduma😂?ila ndoto bana,, kuna kipindi nilikuaga na upwiruu ule wa ovulation sas usiku mmoja nikaota ndoto nipo na mkaka mzuri mnoo kwenye 6×6 mambo yalikua mazuri mpka pale alipotaka kuloweka tu nikashtuka aseee nililaani vibaya mno siwezi kusahau🤦♀️
njoo nikufundishe praktiko.Long story short, huko kulala umenyooka ni kulala kwa style gani? Kifudi fudi, Chali au style gani enyeeh?
Chali na kifudifudi.Long story short, huko kulala umenyooka ni kulala kwa style gani? Kifudi fudi, Chali au style gani enyeeh?
Hakika nakubaliana na weweKaka ukilala umenyooka jini halikushindi. Sasa hivi ndotoni mi natamba tu.
dah! Nilichelewa sana kulijua hili.Hakika nakubaliana na wewe