Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na kidato cha sita waliofaulu lakini hawakunusa JKT Watakwenda JKT mara baada ya kuhitimu degree yao!
NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!
NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!