Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

Kama chuo ni september/october kwa nini TCU hawajakanusha kuhusu tuhuma hizi mpaka sasa kama kweli ratiba iko palepale?
ukiona kimya ujue kuna kitu kinaendelea behind the scene.!
let us wait tuone nn kinafuata.
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!

Nakuunga mkono asilimia mia nane mkuu..
 
Kama chuo ni september/october kwa nini TCU hawajakanusha kuhusu tuhuma hizi mpaka sasa kama kweli ratiba iko palepale?
ukiona kimya ujue kuna kitu kinaendelea behind the scene.!
let us wait tuone nn kinafuata.

like..! TCU inabd watoe nao tamko kma JKT walivyotoa
 
Kama chuo ni september/october kwa nini TCU hawajakanusha kuhusu tuhuma hizi mpaka sasa kama kweli ratiba iko palepale?
ukiona kimya ujue kuna kitu kinaendelea behind the scene.!
let us wait tuone nn kinafuata.

na kama chuo ni january mbona hawajasema chochote kuwa chuo ni january!
 
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na kidato cha sita waliofaulu lakini hawakunusa JKT Watakwenda JKT mara baada ya kuhitimu degree yao!

NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!

sources say Raisi katoa amri watoto wote waape tarehe 28, kwahiyo 29 na 30 mwezi huu wote makwao.
Pia kuna vyuo tayari vimeandika first year watapokelewa september.
Na tanzania haipo tayari kwa mabadiliko makubwa kielimu kama ya january badala ya september.
Ila cha msingi ni msubiri tu taarifa kamili itoke msije kufa kwa presha bado vijana.
 
na kama chuo ni january mbona hawajasema chochote kuwa chuo ni january!

ndo tusubir TCU nao watoe tamko! Ila co mbaya tukiwa tunaliongelea hlo swala kila cku coz ndo mda unasogeaa! Mpaka tujue hatma yake ! Binafs cna tatzo twende/tusiende baridaaa, coz serikal n ile ile mja iliyoamuaaa/iliyopanga
 
sources say Raisi katoa amri watoto wote waape tarehe 28, kwahiyo 29 na 30 mwezi huu wote makwao.
Pia kuna vyuo tayari vimeandika first year watapokelewa september.
Na tanzania haipo tayari kwa mabadiliko makubwa kielimu kama ya january badala ya september.
Ila cha msingi ni msubiri tu taarifa kamili itoke msije kufa kwa presha bado vijana.

ni kweli hata mie walinieleza hvo hvo kuwa mwisho wao jesh ni tarehe 28 August
 
admission will out soon after official aproval,,b patient! tokeo soon soon xaxa iv laja tena funguen a/c zenu ovyo from 2mor mjionee..
 
Kama chuo ingekuwa january tcu wasingeharakisha selection kiasi hiki wanafanya hivi ili watu wajipange mapema kwenda chuo sept, kuna chuo kama mwenge nilisoma Almanac yao first year wanatakiwa kuanza kuripoti 15/9 vijana jiandaeni kupiga pasi ndefu.
 
tuombe mungu na mkopo tupate ila tukukikosa majanga
 
Kama chuo ingekuwa january tcu wasingeharakisha selection kiasi hiki wanafanya hivi ili watu wajipange mapema kwenda chuo sept, kuna chuo kama mwenge nilisoma Almanac yao first year wanatakiwa kuanza kuripoti 15/9 vijana jiandaeni kupiga pasi ndefu.

kumbuka kuwa huyo almanac zipo karibia vyuo vyote na zilikua fixed toka mwaka jana na hii changes inaanza mwaka huu jua hilo.!
 
Back
Top Bottom