Kuna ukweli ndani yake kwamba Chuo kwa wahitimu wa form six waliokidhi viwango na vigezo vya kujiunga vyuoni this Sept, hii inatokana na aina ya Mafunzo ya Vijana waliopo jkt awamu ya pili.
Mfano.
Awamu ya kwanza time table yao ya mafunzo haikuwa ngumu sana kama hii.
Jkt ruvu (mdau kanijuza) wao kwa siku moja wanafanya vipindi karibia vinne kama ifuatavyo;
Asubuhi wanapiga kwata za pass out,baada ya chai wana soma silaha.
Mchana baada ya lunch wanasoma mbinu za kivita.
Jioni hawana Mabio wanaingia tena darasani.
Hali kama hii pia imejitokeza MGAMBO JKT, wao baada ya kuvuna mahindi na ufuta ndio wakaanza mafunzo na pia ile mikesha wao hawana ni bandika bandua ya vipindi hasa kwata za pass out.
KWA MANTIKI HII Unaona kuwa kama chuo ingekuwa ni Jan, Mwakani jeshi lisingekuwa na haraka ya kumaliza mafunzo kiasi hicho.
Kwakuongezea pia vijana waliopo Jkt ruvu tarehe 7 mwezi huu walipewa pass wakarekebishe maombi yao kama Tcu ilivyotangaza kwa second appl.
HIVYO YAFAA KUWA NA SUBIRA MAANA NDANI YA TAIFA HILI LOLOTE LAWEZA TOKEA.
NB:
Ni vyema kwa wahitimu kuendelea kujuzana kwa thread kama hii na sio kurusha hapa tetesi ambazo hazina mbele wala nyuma.SHUKRANI ZA DHATI KWA MLETA MADA.