Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!

kweli kabisa mana ikiwa hivo hadi field zitatofautiana sana kwa wanachuo hasa first year na continous
 
ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.vile vile kama chuo ni january tcu wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa primary na secondary level tu na si kwa vyuo.ndo maana watu wa dip na grade a wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).ratiba ya vyuo vikuu iko pale pale vijana!

utachanganya kwani havard mbona ma dr. Pr na ta hawapumiziki
 
ni kwl kbs, nakuunga mkono coz hata wanajesh walopo jkt wanasema 2ombe mungu chuo kiwe mwaka huu, ndo awamu ya 3 haitakuwepo. sasa hii inamaan kua ratb ya chuo/tcu ndo inadetermine awam za jkt! na c jkt kudetermin ratb ya vyuo vkuu...
 
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na kidato cha sita waliofaulu lakini hawakunusa JKT Watakwenda JKT mara baada ya kuhitimu degree yao!

NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!

cns13.jpg

Meja Jenerali Raphael Muhuga

Msijifariji mliobaki kamanda alishasema mtaenda mwezi september na haitobadilika soma hapa Tangazo la jkt1
pia VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI

ni kwl kbs, nakuunga mkono coz hata wanajesh walopo jkt wanasema 2ombe mungu chuo kiwe mwaka huu, ndo awamu ya 3 haitakuwepo. sasa hii inamaan kua ratb ya chuo/tcu ndo inadetermine awam za jkt! na c jkt kudetermin ratb ya vyuo vkuu...
mkuu msijifariji mliobaki kamanda alishasema mtaenda mwezi september na haitobadilika soma hapa Tangazo la jkt1
pia VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI
 
ha2jifarij, ila hli tangazo halpo waz, soma vzr. amesema awamu ztaendlea kuwepo ila hajasem ztakuwep ln! inamaan kua nae hajapat muafak wa awamu inayokuja, kubadl muhula wa vyuo vkuu c rahc bna, inahtaj mchakt wa muda mrf sn..,
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!

Dah una maelezo mazuri kwelikweli,kwan wewe una kitengo gani TCU?
 
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na kidato cha sita waliofaulu lakini hawakunusa JKT Watakwenda JKT mara baada ya kuhitimu degree yao!

NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!

wataenda hao teaching hv facult nyngne may be utaratibu uchange maana ukinikabidhi lesseni sio lazma niajiliwe gvt na utaratibu majibu yanatoka na lesin zkiwa tayari tutakwea pipa tukawahudumie binadamu wa nje ya nchi
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!

Dah!unajua kuelezea vizuri kwelikweli,kwan wewe una kitengo gani TCU?
 
lile tangazo la jkt lillosema kuna awamu ya 3 kwenda jkt n kuwapa moyo ili wajue kuwa na sisi 2liobak kuwa 2taenda lakn ukwl kuwa hakuna jkt awamu ya 3 kwa huu mwaka kwaiyo chuo n sept au oct
 
pale jkt una kitengo gan mzee mpaka unatuhakikishia kiasi hicho.!
 
Back
Top Bottom