charles ogopa tapeli
Senior Member
- Jul 15, 2013
- 122
- 49
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!
kweli kabisa mana ikiwa hivo hadi field zitatofautiana sana kwa wanachuo hasa first year na continous