Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na kidato cha sita waliofaulu lakini hawakunusa JKT Watakwenda JKT mara baada ya kuhitimu degree yao!

NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!
 
Asante kwa taarifa za kunipa moyo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tunaanza kurusharusha mara utasikia kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa............ (aka hakuna budget)
 
Mi mwenyewe nimeambiwa hvyo na walioko kule,nlipita jkt mlalakuwa nmeambiwa kama kama form6 mnakwenda,wale walioko jkt na maafande wanaambiwa kama tetesi tu,uongozi wa juu ndo utatoa taarifa sahihi subiri uone.
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!
 

naunga mkono hoja zako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…