Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa chuo ni september/october kwa sababu wahitimu waliobaki ni wengi na hawawezi kuchukuliwa wote kwa awamu ya 3 tu labda chuo iwe march mwakani.Vile vile kama chuo ni january TCU wasingetoa mda mfupi mno wa kufanya 2nd round application.Pia ratiba ya mihula ilibadilika kwa Primary na secondary level tu na si kwa vyuo.Ndo maana watu wa dip na grade A wanaenda chuo agosti 15 na sio vinginevyo.Itakuwa kichekesho kama 1st year watakuwa na semester zao tofauti na wengine endapo wataanza january na hainiingii akilini eti malecturer na maprofesa watakuwa wanapiga pindi hata muda wa likizo(mwezi jan wakati 2nd yr na wengine watakuwa likizo).RATIBA YA VYUO VIKUU IKO PALE PALE VIJANA!
Kama chuo ni september/october kwa nini TCU hawajakanusha kuhusu tuhuma hizi mpaka sasa kama kweli ratiba iko palepale?
ukiona kimya ujue kuna kitu kinaendelea behind the scene.!
let us wait tuone nn kinafuata.

na kama chuo ni january mbona hawajasema chochote kuwa chuo ni january!
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na kidato cha sita waliofaulu lakini hawakunusa JKT Watakwenda JKT mara baada ya kuhitimu degree yao!
NASISITIZA:hz taarifa nimezipata toka kwa baadhi ya wanafunzi walioko mafunzoni JKT!
na kama chuo ni january mbona hawajasema chochote kuwa chuo ni january!
jua hata ukimaliza kama hukwenda lazima uende!!!thanks kwa ku2inform maana mi binafsi ctak kwenda jkt.
sources say Raisi katoa amri watoto wote waape tarehe 28, kwahiyo 29 na 30 mwezi huu wote makwao.
Pia kuna vyuo tayari vimeandika first year watapokelewa september.
Na tanzania haipo tayari kwa mabadiliko makubwa kielimu kama ya january badala ya september.
Ila cha msingi ni msubiri tu taarifa kamili itoke msije kufa kwa presha bado vijana.
hapo ndo naaanza kuwa na wasi wasi kuwa chuo itakua january
mi nilijua umeambiwa na viongoz wa jkt kumbe wanafunzi wenzio
admission will out soon after official aproval,,b patient! tokeo soon soon xaxa iv laja tena funguen a/c zenu ovyo from 2mor mjionee..
Kama chuo ingekuwa january tcu wasingeharakisha selection kiasi hiki wanafanya hivi ili watu wajipange mapema kwenda chuo sept, kuna chuo kama mwenge nilisoma Almanac yao first year wanatakiwa kuanza kuripoti 15/9 vijana jiandaeni kupiga pasi ndefu.
.....reloding......

tuombe mungu na mkopo tupate ila tukukikosa majanga
Mkopo kwa fresh from govt school na umeomba kozi inayoeleweka ni lazima kupata inshu ni ngumu kwa wenye dip na waliosoma private.