Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
- Thread starter
-
- #61
lile tangazo la jkt lillosema kuna awamu ya 3 kwenda jkt n kuwapa moyo ili wajue kuwa na sisi 2liobak kuwa 2taenda lakn ukwl kuwa hakuna jkt awamu ya 3 kwa huu mwaka kwaiyo chuo n sept au oct
hakuna ukweli wowote jeshi ni september kwa awamu ya tatu na chuo ni january
jarbu kufkilia kama msomi@mamba
Usiwaulize wale waliopo kwenye kozi,hawawezi kukupa majibu ya ukweli maana wale wameshadata na mafatiki ya jkt.
wewe unastahili kwenda JKT ukafundishwe na jinsi ya kuandika!!admission will out soon after official aproval,,b patient! tokeo soon soon xaxa iv laja tena funguen a/c zenu ovyo from 2mor mjionee..
Usiwaulize wale waliopo kwenye kozi,hawawezi kukupa majibu ya ukweli maana wale wameshadata na mafatiki ya jkt.
wewe unastahili kwenda JKT ukafundishwe na jinsi ya kuandika!!
teh teh teh akafundishwe kuandika nini?
angalia kwenye red..admission will out soon after official aproval,,b patient! tokeo soon soon xaxa iv laja tena funguen a/c zenu ovyo from 2mor mjionee..
angalia kwenye red..
kwani ukihitimu hapo hapo unaajiliwa?
Kijana una matatizo na sio madogo una pressure mambo ya kawaida sana na madogo kama hayo alafu bado mwanafunzi ukifika chuo itakuwaje unawe 2 out of 15 test, assignment haziendi mwalimu amekupa supplimentary haujielewi elewi si ndo utakufa kabisaa..Haya maswala dah!mara jkt,tcu,loan body.Jana nimeenda hosptal nimeambiwa ninataka kuwa na presha.Hakika nayalaani haya majina
Haya maswala dah!mara jkt,tcu,loan body.Jana nimeenda hosptal nimeambiwa ninataka kuwa na presha.Hakika nayalaani haya majina
hata mimi nina maswali mengi je nikifeli kuichukua hiyo degree JKT nitaendaje?kazi ntamuachia nani!
Haya maswala dah!mara jkt,tcu,loan body.Jana nimeenda hosptal nimeambiwa ninataka kuwa na presha.Hakika nayalaani haya majina
Kuna ukweli ndani yake kwamba Chuo kwa wahitimu wa form six waliokidhi viwango na vigezo vya kujiunga vyuoni this Sept, hii inatokana na aina ya Mafunzo ya Vijana waliopo jkt awamu ya pili.
Mfano.
Awamu ya kwanza time table yao ya mafunzo haikuwa ngumu sana kama hii.
Jkt ruvu (mdau kanijuza) wao kwa siku moja wanafanya vipindi karibia vinne kama ifuatavyo;
Asubuhi wanapiga kwata za pass out,baada ya chai wana soma silaha.
Mchana baada ya lunch wanasoma mbinu za kivita.
Jioni hawana Mabio wanaingia tena darasani.
Hali kama hii pia imejitokeza MGAMBO JKT, wao baada ya kuvuna mahindi na ufuta ndio wakaanza mafunzo na pia ile mikesha wao hawana ni bandika bandua ya vipindi hasa kwata za pass out.
KWA MANTIKI HII Unaona kuwa kama chuo ingekuwa ni Jan, Mwakani jeshi lisingekuwa na haraka ya kumaliza mafunzo kiasi hicho.
Kwakuongezea pia vijana waliopo Jkt ruvu tarehe 7 mwezi huu walipewa pass wakarekebishe maombi yao kama Tcu ilivyotangaza kwa second appl.
HIVYO YAFAA KUWA NA SUBIRA MAANA NDANI YA TAIFA HILI LOLOTE LAWEZA TOKEA.
NB:
Ni vyema kwa wahitimu kuendelea kujuzana kwa thread kama hii na sio kurusha hapa tetesi ambazo hazina mbele wala nyuma.SHUKRANI ZA DHATI KWA MLETA MADA.