Sasa nimeelewa kwa nini inapasa kuoa wake wengi

Sasa nimeelewa kwa nini inapasa kuoa wake wengi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye.
1. Ana akili
2. Ana rangi nzuri
3. Ana sura nzuri
4. Ana body nzuri
5. Anajiheshimu

Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi kulingana na sifa.

Unakuta dada mzuri ila hana akili. So huyu nakuwa naye kipindi kile nahitaji tu burdani. Na mwenye akili unakuta hana shape. Huyu namtumia napotaka kukaa kujadiliana mambo ya akili.

Anayejiheshimu, mwenye busara, msafi, ana miguu, ana kiuno, ana matako, ana sura nzuri, ana rangi nzuri. Hawa wote natakiwa kuwa nao kulingana na mahitaji husika.

Sasa nmeelewa kwani ipo hivyo.
 
Ni sisi wenye vitambi ndo tuko😅😅😅😅

Enewi rangi na body vinatengenezeka tu mbona usiogope tafuta mke ambae hamtaishia kupigana bastola au kuuwana
 
Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye.
1. Ana akili
2. Ana rangi nzuri
3. Ana sura nzuri
4. Ana body nzuri
5. Anajiheshimu

Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi kulingana na sifa.

Unakuta dada mzuri ila hana akili. So huyu nakuwa naye kipindi kile nahitaji tu burdani. Na mwenye akili unakuta hana shape. Huyu namtumia napotaka kukaa kujadiliana mambo ya akili.

Anayejiheshimu, mwenye busara,msafi,ana miguu,ana kiuno, ana matako,ana sura nzuri, ana rangi nzuri. Hawa wote natakiwa kuwa nao kulingana na mahitaji husika.

Sasa nmeelewa kwani ipo hivyo.
Pambana sana kijana Ke ziko zaidi ya B 5 duniani kati ya Watu B 8.

Ukistuka utakuwa ushachelewa na kujua ile kauli ya "ulimwengu hadaa walimwengu shujaa"
 
Tafuta mmoja atakaye kuridhisha katika yote hayo, ukikosa jua hujapata mke bado
 
Nilijua ugumu wa maisha ni kutokuwa na hela tu.Kumbe ugumu wa maisha ni zaidi ya kutokuwa na hela?
 
Back
Top Bottom