The Last Man Standing
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 475
- 525
Kama kweli ulikuwa hujaelewa Tofauti hizi basi wewe utakuwa ulikuwa na matatizo ya uelewa hata Shuleni ( kama ulipitia HUKO any way). Mbona tofauti ni kubwa na ziko bayana? Ulichelewa wapi kutambua hili Mkuu.Acha uongo braza haukusaidii chochote
Hesabu zipi Mkuu !Unajaribu kumtofautisha lakini Hesabu zinakataa.
"Mtanikumbuka si kwa Ubaya bali kwa Uzuri " RIPNI kweli. Lakini tusi deny kwamba uongozi wake uliumiza wanasiasa wa upinzani. Ila sasa angalau alikuwa na hizo 50% za uzuri na 50% za ubaya, tofauti kabisa na sasa, ambapo tunaweza kusema uzuri ni 20% na ubaya 80%. Bado inamfanya Magufuli kuwa bora zaidi.
Ila kamba zenyewe wahusika wamejiongezea urefu na sasa ni janga kwenye shamba la Bibi..Umenena vema sana, hata narudia maneno niliyosema hapo juu, "Kuna sababu moja tu hivi sasa kwa nini Raisi Samia anaungwa mkono na kusifiwa kila siku na viongozi waandamizi wa CCM katika nafasi zao za ndani ya chama na serikalini.......anawaruhusu watumie urefu wa kamba zao bila kuwabugudhi. Lakini si kwa sababu anaongoza nchi vizuri kwa maslahi ya mbele ya Tanzania. Hilo nitakataa katakata."
Siongei na Mkara mie.Wrong. Believe me, kuna watu wengi sana wenye malezi ya single mother wana akili sana kukuzidi, kama hii ndio namna yako ya kujibu hoja. In fact baba yangu alikuwa ananiambia JF ni kama kokoto la samaki baharini, kuna viumbe utakuta kwenye wavu vinatia hata kinyaa kuangalia - kama baadhi ya members wa JF wenye comments zinatia hadi kichefuchefu kusoma, kama hii yako!