Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
AminaChadema Ni Mpango Wa MUNGU Kwa Watanzania.
AminaChadema Ni Mpango Wa MUNGU Kwa Watanzania.
Hapo ndiyo ujue kuwa Mungu yupo upande wa CHADEMA, chama pekee cha kuwapigania watanzania wa aina zote.Alietaka kuiua Chadema kafa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woote kwishaNakuhakikishia kwamba kila atayejiapiza kuua Chadema atakufa yeye iwe kisiasa au kimwili .
Umemsahau na yule Jah people na KessyNa huo nao ndio udhaifu mwingine wa CCM,CCM Sasa hivi haina viongozi wa maana kabisa,inachukua kutoka Chadema,Chadema imekua chuo au mtambo wa kuzalisha viongozi,imekua Kama ilivyokua chuo Cha sayansi ya siasa kivukoni enzi za Nyerere...
Waambie hao watafuna mirungi wa LumumbaChadema ni moto uliotoka mbinguni hakuna mwanadamu wa kuizima!
Haijafa, haitakufa kwamwe.Nimefatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.
Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono,jasho na damu zao lakini haikufa...
Kazi yetu kutoa rambi rambi tuHilo halina ubishi Mkuu,zaidi Sasa Lina ushahidi.
Ile kauli ya Chadema hua in nguvu Sana ila watu shingo zao ngumu tu,kauli ya
"Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu"
Sasa aje mtu ajaribu kuiua Chadema uone Kama atabaki salama.
Kazi yetu kutoa rambi rambi tuHilo halina ubishi Mkuu,zaidi Sasa Lina ushahidi.
Ile kauli ya Chadema hua in nguvu Sana ila watu shingo zao ngumu tu,kauli ya
"Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu"
Sasa aje mtu ajaribu kuiua Chadema uone Kama atabaki salama.
AminaMungu ibariki Chadema
Waliojaribu kukiua wamekufa waoNimefatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.
Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono,jasho na damu zao lakini haikufa...
Wasira kwisha habari zake sasa hivi yupo ameanza kuvua kamongo pale lake VictoriaNamkumbua Mzee Wasira sijui Yuko wapi,alitabiri Chadema kufa.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Tangu Polisi walivyo wapigeni stop ya kutuandalia pilau basi mkawakosa wanachama wengi sanaSisi vijana wa mzee Rungwe mbona mnatusahau sana waleta siredi
CHADEMA inaandamwa kwa sababu ndiyo chama cha kweli cha upinzaniRungwe Ni mtu poa Sana Hana maneno na mtu.
Hatuwasahau Bali nyinyi hamjasakamwa Kama isakamwavyo chadema,Kama mgesakamwa na mkavuka vikwazo na mishale mkakwepa tungewapongeza tu.
Asante kwa tahadhari lakini kwa uelewa wangu mdogo ndani ya CHADEMA kufa itakuwa ni kazi ngumu sana sana.Tahadhari sana mkuu.
CHADEMA inaweza kufa kuanzia sasa kama wasipokuwa waangalifu...
CDM haitoweza kufaTaratibu mkuu; ndiyo kunakucha sasa!
CHADEMA ni mpango wa Mungu, yeyote, narudia tena yeyote atakayejaribu kuiua hakika ATAKUFA.Nimefatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.
Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono,jasho na damu zao lakini haikufa....
Asilmia 90 ya walioiombea CHADEMA mabaya yamewapata waoNimefatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa...
Na kiroho piaNakuhakikishia kwamba kila atayejiapiza kuua Chadema atakufa yeye iwe kisiasa au kimwili .
Kwanza napenda kukujulisha kuwa uanasisa ni kazi ya kutafuta ajira. Chama kinapopata wabunge wengi na kura nyingi kinatengeza ajira kwa wanachama na viongozi. Wingi wa wabunge na kura unaongeza ruzuku kwa chama.Nimefatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.
Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono,jasho na damu zao lakini haikufa...
Kasma mnawapigania Watanzania kwa nini hawawachagui?Hapo ndiyo ujue kuwa Mungu yupo upande wa cdm chama pekee cha kuwapigania watanzania wa aina zote.